Kumbe ninaishi na mwizi

Kumbe ninaishi na mwizi

Pamoja na kuwepo uwezekano wa kuwa mwizi, si ajabu anaishi nchini kiharamu. Katoe taarifa polisi haraka.

Ni kweli mkuu na awe na tahadhari kubwa sana maana cku huyo jamaa akidakwa yeye ndie atakua shahidi mamba 1 maana itaonekana yeye ndie anamsadia mhalifu kuishi hapa nchini kwa kua yeye ni mwenyeji
 
Umenikumbusha hadithi moja niliwahi soma jamaa alimficha chui ndani,siku ya siku chui akamfanya chakula ya jioni.
Huyo atakumaliza,sio ndugu yako anakutumia kama kichaka,siku wakijakumkamata na wewe tutakukuta keko.
Nakushauri achana naye lkn kwa amani asije akakuua.Toa taarifa police wajifanye wanasaka bangi mtaani kwenu wampitie katika kumuhoji kitaeleweka.
 
Be careful my dear,fuata ushauri wa wadau kabla mambo hayajawa Mabaya,usisahau kutupatia mrejesho
 
kumbe umejua afu unaomba ushauri????we utakuwa mgonjwa...
 
Shauri lako we jidai tu unampenda..hivi kwamfano huko kwao wakajua yuko tz then interpool wakapeleleza wakajua anakokaa unadhan na ww watakuacha kirahc??
 
Akichelewa kutoa taarifa polisi basi inaweza kula kwake akabaki na majuto mjukuu. Sijui ameshaishi naye kwa muda gani.

Ni kweli mkuu na awe na tahadhari kubwa sana maana cku huyo jamaa akidakwa yeye ndie atakua shahidi mamba 1 maana itaonekana yeye ndie anamsadia mhalifu kuishi hapa nchini kwa kua yeye ni mwenyeji
 
Jina lenyewe smartass asee sawa turud kwenye topic unatafuta boy mtandaoni kwan.kwenu wameisha??? Jitu hulijui unalileta nyumban.kwako subir ulale uamke ukute nyumba nyeupe utajua kilichomtoa kanga madoa CYBERTEQ hapa pitia ahhhha ujionee

acha kumwonea wivu mwenzako kapata boyfriend anaongea kizungu tu hajui kiswahili, hajamtoa ifakara kamtoa naijeriaaaaa...heheheeeeeeee!
 
mpaka sasa smartass yuko kimya, naskia yuko ndani!
 
Back
Top Bottom