Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
nampenda
Masikiniiwee anakutumia, kakuweka kama bango !
nampenda
Habari wana jf
mimi ni mgeni humu najitokeza leo kuomba ushauri
nilipata mpenzi takriban miezi mitatu iliopita katika mtandao maarufu sana unaokutanisha wake kwa waume wanaohitaji marafiki na wapenzi.
mwanaume huyo ni mtu wa africa magharibi
1. kila nikimuuliza shughuli anazofanya hapa dar es salaam hataki kusema (ni msiri sana)
2.hulala kutwa nzima jioni ndio hutoka kuelekea kusikojulikana.(hata vocha ikiisha hatoki kununua dukani mpaka niwepo ndio nikamnunulie).
3.nimeskia tetesi kwamba ni mwizi wa njia ya mtandao na anatafutwa. Ni mstaarabu mpole huduma zote anatoa kama tumefunga ndoa vile. hizi habari nilizopata ndio nashindwa kuamini kipi niache kipi, sitaki kua negative.
akili yangu haipo sawa hizi habari zimenipa hofu kiasi ambacho nashindwa cha kufanya.
naomba ushauri bila kebehi /kashfa
naogopa akigundua anaeza niua nahofia usalama na uhai wangu
Napenda kuwa na mpenzi jambazi
1 hawajui ku cheat,,,
2 hela zao sio za mawazo
3 wako so romantic
4 Hawana maneno mengi
kazi kwako smartass
Uessma anatoka afrika magharibi? mi nachoomba kuwa makini na EBOLA tu hayo mengine sina wasiwasi nayo
huku kwetu wapo wengi tu...!!
naishi nae nyumbani kwangu:angry:
Habari wana jf
mimi ni mgeni humu najitokeza leo kuomba ushauri
nilipata mpenzi takriban miezi mitatu iliopita katika mtandao maarufu sana unaokutanisha wake kwa waume wanaohitaji marafiki na wapenzi.
mwanaume huyo ni mtu wa africa magharibi
1. kila nikimuuliza shughuli anazofanya hapa dar es salaam hataki kusema (ni msiri sana)
2.hulala kutwa nzima jioni ndio hutoka kuelekea kusikojulikana.(hata vocha ikiisha hatoki kununua dukani mpaka niwepo ndio nikamnunulie).
3.nimeskia tetesi kwamba ni mwizi wa njia ya mtandao na anatafutwa. Ni mstaarabu mpole huduma zote anatoa kama tumefunga ndoa vile. hizi habari nilizopata ndio nashindwa kuamini kipi niache kipi, sitaki kua negative.
akili yangu haipo sawa hizi habari zimenipa hofu kiasi ambacho nashindwa cha kufanya.
naomba ushauri bila kebehi /kashfa
Napenda kuwa na mpenzi jambazi
1 hawajui ku cheat,,,
2 hela zao sio za mawazo
3 wako so romantic
4 Hawana maneno mengi
kazi kwako smartass
naogopa akigundua anaeza niua nahofia usalama na uhai wangu
We kula maisha ujambazi nayo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine, yakitokea yakutokea bwana atatoa njia!