Kumbe ninaishi na mwizi

Kumbe ninaishi na mwizi

wewe upo timamu.

msamehe bana dada vavene mgeni maeneo haya taratibu ataelewa!
dada vavene kuna jukwaa linaitwa matangazo madogomadogo kule ukifungua thread ukaweka na picha za viatu designs mbalimbali na bei zako kwa hakika utapata wateja wengi tu, jf imegawanyika mafungumafungu kila fungu watu wanajadili mambo fulani,mfano kuna jukwaa la siasa mtu hawezi kwenda kutafuta mchumba, au jukwaa la uchumi mtu hawezi kupeleka habari za katiba mpya!!
 
Last edited by a moderator:

Thnx much,nimeelewa
 
Last edited by a moderator:
Naugua,mnashadadia mtu anaishi na jambazi mnaacha tusapotiane na kushauriana vitu vya msingi

acha we.hu! hii ni forum na kuna nenda sehemu husika katangaze huo upuu..z wako unaouza
 
msamehe bana dada vavene mgeni maeneo haya taratibu ataelewa!
dada vavene kuna jukwaa linaitwa matangazo madogomadogo kule ukifungua thread ukaweka na picha za viatu designs mbalimbali na bei zako kwa hakika utapata wateja wengi tu, jf imegawanyika mafungumafungu kila fungu watu wanajadili mambo fulani,mfano kuna jukwaa la siasa mtu hawezi kwenda kutafuta mchumba, au jukwaa la uchumi mtu hawezi kupeleka habari za katiba mpya!!
mgeni alafu analeta jeuri msome hapo chini.
Naugua,mnashadadia mtu anaishi na jambazi mnaacha tusapotiane na kushauriana vitu vya msingi
 
Last edited by a moderator:
Through my own experince and intuitions, i dare to say, that guy is likely to be a FOREIGN OPERATIVE and is using you as a COVER na hiyo jioni akiondoka huenda ndio anaenda patrol yake!!! sasa wewe endelea tu kumtunza!!!
 
Shaur yako! Endelea kuwavulia 2 kama hujavuna hiv au ukaozea segerea
 
Habari wana jf
mimi ni mgeni humu najitokeza leo kuomba ushauri
nilipata mpenzi takriban miezi mitatu iliopita katika mtandao maarufu sana unaokutanisha wake kwa waume wanaohitaji marafiki na wapenzi.

mwanaume huyo ni mtu wa africa magharibi
1. kila nikimuuliza shughuli anazofanya hapa dar es salaam hataki kusema (ni msiri sana)
2.hulala kutwa nzima jioni ndio hutoka kuelekea kusikojulikana.(hata vocha ikiisha hatoki kununua dukani mpaka niwepo ndio nikamnunulie).
3.nimeskia tetesi kwamba ni mwizi wa njia ya mtandao na anatafutwa. Ni mstaarabu mpole huduma zote anatoa kama tumefunga ndoa vile. hizi habari nilizopata ndio nashindwa kuamini kipi niache kipi, sitaki kua negative.

akili yangu haipo sawa hizi habari zimenipa hofu kiasi ambacho nashindwa cha kufanya.
naomba ushauri bila kebehi /kashfa

Thief is not as bad as people feared,but also not as good as they might've hoped. Its main flaw?
 
Jihadhari mapema...penda unaowafahamu atleast utaweza kumvumilia na kujaribu kumbadili.

Je huyo unajua background yake,ndugu zake, kwao?

Utakuta anakutumia wewe kama kinga ya maovu yake.

Endelea na maisha yako,wajibika mwenyewe...hii kupatiwa kila kitu ipo siku itakutokea puani.
 
Kwel jf 2mekosa kaz ya kufanya 2nawezaje kujadil m2 anayeish na jambaz tena kamtoa kwenye mtandao 2naacha kujadil mambo ya muhmu?
 
its called love at first sight miezi mi3 unaiona midogo? watu wanakutana kwenye daladala n the next is marriage we hutumwagi na mkeo/dem?si ni mapenzi tu or bcoz ni mnaija?? sometimes its better to live with a foreign criminal than libongo libahili lisilokua romantic nitusi feel free VANMEDY
 
hujalazimishwa dear nimeomba ushauri tu ungeiacha hii thread kuna walio interested na pengine kuna other girls wako stranded in a same situation watanufaika nayo so dont be bitter
 
its called love at first sight miezi mi3 unaiona midogo? watu wanakutana kwenye daladala n the next is marriage we hutumwagi na mkeo/dem?si ni mapenzi tu or bcoz ni mnaija?? sometimes its better to live with a foreign criminal than libongo libahili lisilokua romantic nitusi feel free VANMEDY

Duh wewe hapohapo unaomba ushauri! Kumbe hatari
 
how do i quote??i am new i know nothing about this forum kindly nielekeze STABLE WOMAN
 
its called love at first sight miezi mi3 unaiona midogo? watu wanakutana kwenye daladala n the next is marriage we hutumwagi na mkeo/dem?si ni mapenzi tu or bcoz ni mnaija?? sometimes its better to live with a foreign criminal than libongo libahili lisilokua romantic nitusi feel free VANMEDY

Duh wewe hapohapo unaomba ushauri! Kumbe tayari Una majibu yako! Bure zitakuua nyambaf.uuuuuu!!
 
Back
Top Bottom