Pleasure
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 279
- 100
Rejea Identity yako hapo juu,
nadhani ingekuwa busara kama ungejiita Smart brain Any way,back to topic ni kwamba unaishi na mtu anayedhaniwa kuwa ni mwizi,
Je anavibali vyote vya kuishi hapa?
Je ana work permitt ya hapa?
Kama kuna kilichokosekana ni vyema ukamripoti polisi hata kwa siri waje wamhoji ili na wewe ujiridhishe,
Kinyume na hapo na wewe utahisiwa mwizi pia.
Nyani haoni kundule, umeona ID ya mwenzio tu, yako vipi?