CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
its called love at first sight miezi mi3 unaiona midogo? watu wanakutana kwenye daladala n the next is marriage we hutumwagi na mkeo/dem?si ni mapenzi tu or bcoz ni mnaija?? sometimes its better to live with a foreign criminal than libongo libahili lisilokua romantic nitusi feel free VANMEDY
uuuwi, kama ni hivyo basi nakushauri uongee naye vizuri mwambie wewe hauna noma wala nini akuambie michongo yake utaweza kumsaidia kwa uzuri in a partnership, then mnaanza kula vichwa huku ukifaidi mgao kuliko senti za kurushiwa, au siyo dadaake na mimi!