GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,922
Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.
Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:
Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.
Nawasilisha.
Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:
- Wana roho mbaya.
- Ni makatili sana.
- Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
- Wanafiki waliotukuka.
- Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
- Wababe / Madikteta fulani hivi.
- Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.
Nawasilisha.