Kumbe na Mimi ningesomea ukemia leo ningekuwa mkatili, siambiliki, mnafiki na dikteta?

Uzuri wa watu waliosoma science au tuliosoma science tuko straight sana, huwa hatupindishi kile tunachokiamini as long as tuna evidence na proof lets go....
 
Ukiona mzazi anachukiwa Na watoto wake ujue kuna tatizo
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Huu mtandao ata ukifungwa itakuwa afadhali mana hakuna namna......ugreat thinker umepotea kabisaaa......wamekuja wambea kibao.
We binafsi utafaidika nn maana naona umejawa chuki,nyodo,dharau,nongwa,sifa za kijinga,ushambenga,umbea,unafiki,upyampya,umbumbumbu,hasira,mapepo,mavi,funza mikia,nuksi ,balaa,mikosi,uchawi,wanga,,,,,,,,,,,,,,,,kujipendekeza,,,,,,
 
Science hainaga longo longo,wanachezaga na Hypothesis,kisha Experimentation,kisha Interpretation of the results na mwisho ni Conclusion.Hakunaga blah blah wala kuremba.
 
Aendelee kufanya uhakiki wa mali za chama chake ili ayatie ndani majizi yote yaliyotuibia.
Bomoa chama cha kijani ili 2020 wabunge ngo'mbe wasirudi tena kupiga meza. Kila atakayepokonywa kizimba, frem, shule, eneo la wazi lazima arudi uraiani kumlaani, huyu mtu kaletwa na Mungu kuifuta ccm kwenye ramani
 
Yote haya yake huyo jamaa...!!??
We binafsi utafaidika nn maana naona umejawa chuki,nyodo,dharau,nongwa,sifa za kijinga,ushambenga,umbea,unafiki,upyampya,umbumbumbu,hasira,mapepo,mavi,funza mikia,nuksi ,balaa,mikosi,uchawi,wanga,,,,,,,,,,,,,,,,kujipendekeza,,,,,,
 
Huo ni uchokozi bayana. Huogopi kumsimanga? Kumbuka JF iko katika uchunguzi kuona kinachoandikwa kila leo.

Nyie mbona mna viherehere hivi? Katika huu uzi wangu kuna Mtu pengine unayemfikiria Wewe nimemtaja? Kama yupo basi nipo tayari kuhukumiwa ila najua sijamtaja Mtu yoyote hapo na najiamini kwa hilo. Halafu iwe mwanzo na mwisho Wewe na Wapumbavu wenzio kila ninapoanzisha uzi mnauhusisha na Mtu wenu. au mnataka nanyi niwadharau sasa rasmi kama nilivyokwisha anza kumdharau Master wenu Chemical Ally?
 
Huo ni uchokozi bayana. Huogopi kumsimanga? Kumbuka JF iko katika uchunguzi kuona kinachoandikwa kila leo.

Stupid na Wewe ukumbuke pia kuwa motto ya JF ni Where We Dare Talk Openly sawa? Kumbe sasa nimeamini kuwa kumbe ninapokuwa nawadharau Wapumbavu baadhi yenu humu JF huwa sikosei na nitawadharau hadi Kiama.
 
We binafsi utafaidika nn maana naona umejawa chuki,nyodo,dharau,nongwa,sifa za kijinga,ushambenga,umbea,unafiki,upyampya,umbumbumbu,hasira,mapepo,mavi,funza mikia,nuksi ,balaa,mikosi,uchawi,wanga,,,,,,,,,,,,,,,,kujipendekeza,,,,,,

Mkuu umesahau kumwambia neno lingine kuwa pia ni Mpumbavu aliyetukuka.
 
Science hainaga longo longo,wanachezaga na Hypothesis,kisha Experimentation,kisha Interpretation of the results na mwisho ni Conclusion.Hakunaga blah blah wala kuremba.

Ningekushauri tu Mkuu badilisha Avatar yako kwani huyo uliyemweka hapo hakuwa na mawazo ya Kipumbavu kama haya uliyotuwekea humu Wewe na sana sana unamuaibisha tu akiwa zake mavumbini pande za Wami Dakawa.
 
Back
Top Bottom