Kumbe na Mimi ningesomea ukemia leo ningekuwa mkatili, siambiliki, mnafiki na dikteta?

Itakuwa zile chemical tests wanazofanya bila vifaa sahihi vya kujikinga zinawafyatua na kuwaathiri ubongo.
 
Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.

Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:

  1. Wana roho mbaya.
  2. Ni makatili sana.
  3. Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
  4. Wanafiki waliotukuka.
  5. Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
  6. Wababe / Madikteta fulani hivi.
  7. Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?

Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.

Nawasilisha.
Majizi nyinyi mtanyooka tu awamu hii,

Mlizoea kuishi kwa ujanja ujanja na kunyanyasa watu.

Mtalialia mpaka mkome
 
  1. Wana roho mbaya.
  2. Ni makatili sana.
  3. Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
  4. Wanafiki waliotukuka.
  5. Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
  6. Wababe / Madikteta fulani hivi.
  7. Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.
Nawasilisha.
PCB - PEOPLE CONFUSING BRAIN
 
We kama unamsema ntu si umtaje moja kwa moja tumjue? Mbona mimi nina rafiki yangu tulisoma naye seminary ingawa baadaye alifukuzwa alisoma na kufundisha Chemistry baadaye akaja kuingia kwenye siasa na kisha kupata Phd yake ni ntu npole na nsikivu lakini hajaribiwi na sio nkatili kama unavyosema wewe!
 
Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.

Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:

  1. Wana roho mbaya.
  2. Ni makatili sana.
  3. Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
  4. Wanafiki waliotukuka.
  5. Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
  6. Wababe / Madikteta fulani hivi.
  7. Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?

Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.

Nawasilisha.
Izo ni tabia zao OG hakuna professional inayonfanya mtu awe tofauti zaidi ya mihemko yake binafis
 
Huu mtandao ata ukifungwa itakuwa afadhali mana hakuna namna......ugreat thinker umepotea kabisaaa......wamekuja wambea kibao.
 
Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.

Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:

  1. Wana roho mbaya.
  2. Ni makatili sana.
  3. Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
  4. Wanafiki waliotukuka.
  5. Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
  6. Wababe / Madikteta fulani hivi.
  7. Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?

Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.

Nawasilisha.
Sasa umeanza kujitambua karibu Sana Mikocheni.
 
Back
Top Bottom