Kumbe na Mimi ningesomea ukemia leo ningekuwa mkatili, siambiliki, mnafiki na dikteta?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,528
Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.

Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:

  1. Wana roho mbaya.
  2. Ni makatili sana.
  3. Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
  4. Wanafiki waliotukuka.
  5. Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
  6. Wababe / Madikteta fulani hivi.
  7. Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?

Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.

Nawasilisha.
 
Sometimes Chemical ikatokea zika....au acha niachie hapa tu. Poa, tutachonga baadaye mwana
 
Hata wewe!?........Basi watakua wamebaki wachache sana Wenye Imani na wakemia.!

Vipi Mkuu na Wewe una Marafiki Wakemia kama Mimi na wana hayo madhaifu kama niliyoyaona kwa hawa Marafiki zangu Wakemia wa UDSM 30?
 
Hamna shida,najua jitihada za wakemia zitasifika sana kuanzia 2018 -2025.Ngoja tunyooshe nchi kwanza.WHO wameshasema hakuna Zika Tz,mlitaka mpige hela kama ule ugonjwa mliozusha mpaka leo haujulikani ulikuwepo au haukuwepo ila watu walipiga hela za utafiti.
 
Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.

Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:

  1. Wana roho mbaya.
  2. Ni makatili sana.
  3. Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
  4. Wanafiki waliotukuka.
  5. Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
  6. Wababe / Madikteta fulani hivi.
  7. Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?

Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.

Nawasilisha.
ACHA MANENO WEKA MUZIKI
 
Huo ni uchokozi bayana. Huogopi kumsimanga? Kumbuka JF iko katika uchunguzi kuona kinachoandikwa kila leo.
 
Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.

Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:

  1. Wana roho mbaya.
  2. Ni makatili sana.
  3. Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
  4. Wanafiki waliotukuka.
  5. Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
  6. Wababe / Madikteta fulani hivi.
  7. Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?

Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.

Nawasilisha.
Kuna jamaa mmoja ana hivi vitabia...., amepanga paleee....☝,karibia na soko la samaki, tena na yeye Ni mtaaluma wa sulphuric acid.
 
Mbona mwaka jana uliwasifia sana hao marafiki zako? Au walikuwa hawajahitimu bado ukemia?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom