sweetapple
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 533
- 461
Ivi yule msemaji wa WHO aliyeonyeshwa Ni kama ameambiwa cha kusema.Ebu kamwangalie vizuri.Mnabishana NA watafiti.Poa yetu machoHamna shida,najua jitihada za wakemia zitasifika sana kuanzia 2018 -2025.Ngoja tunyooshe nchi kwanza.WHO wameshasema hakuna Zika Tz,mlitaka mpige hela kama ule ugonjwa mliozusha mpaka leo haujulikani ulikuwepo au haukuwepo ila watu walipiga hela za utafiti.