Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,157
- 1,966
Sipo kivipi sasa wakati najiona, na najitambua nina akili timamu, I'm not crazy or Hallucinating here.Nimeelezea kuhusu nafsi(consciousness) kwa mfumo wa mwanga. Kuna mtu kwenye comments alisema kuhusu windows ya komputa(analogy) so hizo zoote ni namna ya kuelezea consciousness.
Wewe sio vyote hivyo, wewe haupo.
🤣Mara mungu hayupo leo hadi sisi hatupo sasa yupo nani
Sasa ubongo na memory na tako na mkono na mwili na roho na mawazo si ndio inakukamilisha wewe? Memory ndio ufahamu binadamu bila ufahamu ni mnyama tu.
Ukimchukua binadamu akalelewa na sokwe ni binadamu bado ila atakua hana utu.
Pia majini wale ni WATU kabsa ila sio binadamu.
Ili uwe wewe lazima kuna vitu vikamilike.
Kuna mawazo mengine ni ngumu kuelewaOk,
Imagine hilo tako ni kiungo?
Ubongo umetumia (UFAHAMU) kitu ambacho ni decision, decision ni wewe? Au ni wazo? Je wazo ni wewe? Maana hapo Kuna causation kwamba umesikia mtu kasema ulishikie so ume respond.
Je kilicho respond hapo ni wewe? Au ubongo? Reaction to memory? Ukisema wewe ndo umejishika tako, Hapana maana kilicho sababjsha ulishikie sio wewe ni ubongo ulio kuwa triggered because of memory.
Mkuu ulisema hii sio debate nakukumbusha tuu...Sipo kivipi sasa wakati najiona, na najitambua nina akili timamu, I'm not crazy or Hallucinating here.
I can sit and have a meaningful discourse with a separate intelligent entity which is NOT me i.e you.
Hata nikifa leo nilikuwepo na nitaendelea kuwepo in a different layer of reality which you cannot see with your eyes, in a different dimension with my Heavenly Father the Almighty Creator.
Haya mafundisho ya mapepo mnayameza tu nyie wenyewe mnayaelewa kweli? ? ?
Binadamu tupo. We are very real aspects of reality. Na viumbe wengine tusiowaona kwa macho wapo!
And we are separate, hii biashara ya kusema we're one ninaikataa in Jesus name, you're yourself, I am myself.
Jitu linafanya uovu huko halafu linataka lijifanye halipo 🤣, eti ni consciousness tu inaota, bro! Embu tutokee hapa! !
Trying to take your free will away from you kwamba you have no choice. UONGO. TOKA PEPO.
Trying to take accountability away from you kwamba sio wewe its the consciousness dreaming. UONGO. TOKA PEPO.
Trying to take the power you have in you kwamba wewe haupo. UONGO. TOKA PEPO.
Trying to take meaning away from you.
Kwamba it's all a dream. Eti Nothing is real. UONGO. TOKA PEPO.
Haya mafundisho ya imani za huko Mashariki ni mafundisho ya mapepo.
Hata kama yana chembe za ukweli, ni kama sahani ya chakula hata uweke kinyesi kidogo tu pembeni ukachovye na mti huko upakaze kwenye sahani haifai kula tena!
Tafuteni Kweli.
Sio hadithi za uongo na kweli, mambo ya kufikirika which we can't prove coz kwanza hatupo! ! ! 🤣
YESU ndiye Kweli!
Post in thread 'Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?' Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?
Wanazingua 😎
Uliigeuza debate ulipodai nakimbia! !Mkuu ulisema hii sio debate nakukumbusha tuu...
Sijakataa hayo yote kuwa unajiona, una jitambua, and you are not hallucinating! The mind is doing its work correctly.. Na hapa hatuongelei mind, or body.. We are talking about the "self" the egoic self we believe we are..
This is the creation of the mind, the mind hata awali nilisema works on memory. So are you a memory.. Surely you're not and you know instinctively you're not.
Sasa unavyo Sema ya kuwa wewe upo unathibitisha ya kuwa wewe ni mind, yaani unahalalisha memory as existence! Au tangible being!?
We know in neuroscience kuwa the brain works through electric firing and wiring of neurons, so are you saying wewe ni hizo neurons ambazo zinafanya kazi by triggering of external conditions?
OK tuje kwenye biological stand point, Je we ni baba yako na mama yako? Yaani bila hiyo chain ya wazazi wako usonge tokea si ndio? Na Hao wazazi walitokea wapi? Je sasa hapo nani ni nani?
Mkuu haupo, it's just a creation of the mind.
Huyo Jesus unayesema ni Kweli alitoka wapi? Hatujui. Utasema ni Mungu of course inatupa ahuweni kujua Kuna sehem ya kupata comfort but is it real?
Najua dini is in you, it's okay na hata hamna haja ya kuattack mtu mwenye different view on things, believe what you believe ila kwenye ukweli lazima watu tuulize
Unajua wewe ulianza kuuliza mwanzo kabisa kuhusu mwanga, hapo ndo hizi nature na source of reality zilizaliwa.. Ila mada ilikuwa kuhusu self not reality,And you're mixing so many things up. Are we talking about the nature
It is the creation of the mind because one can't make sense of self without thought, I mean seiiing, thinking, feeling, touching can't happen if the mind is destroyed. So if someone is in coma, he can't know that but after he wwakes up memory is calculated and mechanics of the mind brings a memory image(that he is conscious)Who said self ni creation of the mind? ? ?
Where is proof that self ni creation of the mind?
We are not trying to draw a line here, separate entities exists, but the self is an imaginary creation hence it is not a separate entity and thus it does not exist.Where do we draw the line that this is a separate entity and this I just an imaginary creation? ?
Hey, I didn't say the self existed in the first place. So what the mind created was not the self let's begin there....2) You say mind works on memory.. So mtu aliyeugua alzheimer's disease akapoteza kumbukumbu akawasahau mkewe watoto wake, kwasababu self ni creation of mind, na mind works on memory, so because this person's memory imeharibika, means his self imeharibika! Utu wake umeharibika.
Sio yule baba mwenye mke na watoto tena ni mtu mwingine asiye na mke na watoto kwasababu hakumbuki kama ana watoto! ! ! !
Such a bizarre teaching! ! !
Is that the self you are talking about? You are talking about consciousness. The consciousness isn't necessarily the self. Though through consciousness is what makes us aware of ego and self. But either real or fake consciousness encapsulates all of them3) Unaniuliza kama mimi ni product ya neurological function.
Nilishakwambia huko juu there are layers to reality. I am definitely not only the function of my brain.
My brain helps me navigate the 3D world. But there's more! !
Hata huyu Neurosurgeon nilimpost hapa anasema Humans are more than the function of the brain. There's more to our consciousness:
Mkuu tusizunguke mbuyu sana, prove to me with kuwa the self not consciousness exists in higher realms. We are talking about self here, not consciousness, the self separate entity we call us. Sijakimbia dimensions.. Najua hiyo self Hai exist huko, umetolea mfano wa alzheimer's na ukasema mtu Ana loose uelewa na ukasema your mind helps you navigate 3D Je kwenye higher realms una tumia nini? Answer these questions deligently just like me on dimensions and consciousness.Nikakuambia anzia kuchunguza kuhusu higher dimensions uone itakupeleka wapi ukai dismiss.
Yani kwa kifupi wewe jamaa ni mtu anatafuta njia hajui njia anauliza watu nielekezeni njia za kwenda sehemu A lakini msiniambie nipite njia A.
Sasa kama njia A ndo sehemu pekee ya kukufikisha huko unakotaka kwenda na wewe hutaki kuipitia, unafikiri lengo lako kweli ni kwenda huko unakotaka kwenda au unataka kujichosha tu kuzunguka zunguka mitaani! ! !
Mkuu mbona hamna logic hapo. Hiyo ni kuamini doctrine kama mtu asiye taka kuielewa.4) Unasema bila chain ya wazazi nisingetokea, ndio sasa hapo cha kufikirisha ni kipi!
I had to come in to the world so I had to be born into the word by Humans.
I am still me. They are still them. My children also are separate beings who came through me.
Ni kwamba umeshakataa reality kuwa Mungu hayupo aliyeumba kila kitu, Adam na Eve hakuwepo, Yesu hakuwepo sasa umebaki ku tafuta sense in a false reality you're creating .
Ni mauzauza tu utapata.
Atleast am the one who is searching.. Because by realizing am not what my mind says I am hense I might not be it, in the book power of now, kuna section inasema I'm not my mind... Hence am not the "self" the mind says I am.) Unaniuliza Huyo Jesus unayesema ni Kweli alitoka wapi halafu unanijibia Hatujui! ! !
Ni wewe hujui.
Au umekataa ukweli.
This is not a matter of me looking fo comfort this is a matter of searching for TRUTH.
Na kama hatuwezi kukubaliana for a simple provable fact Kwamba YESU:
aliishi karne ya kwanza,
alifanya miujiza,
aliteswa,
aliuawa,
alifufuka siku ya tatu,
akatokea mamia ya watu kwa siku 40,
Wafuasi wakecwa kwaza waliuawa kwa aili ya kushuhudia kweli huu,
Kama hatuwezi kukubaliana na jambo jepesi kama hili la kihistoria, sidhani kama tunaweza kukubaliana chochote!
One of us is searching for truth and the other is searching for comfort in a false made up reality
Don't go yet ndo kwanza tunaanza, no backing down,Bye! ! !
Sio anakuchora ni kiazi halafu huwa hajijuiKivipi mkuu? Kwamba jamaa ananichora
hapo mimi cjaona akili ya kuvuka barabara. Na afu bro jaribu kubadilisha chakula, kuna kitu kwa chakula unachotumia sio bureUbongo, mwili na akili vinavuka barabara ila sio mimi
Hakuna kitu mule , unapoteza mda wako bureJamaa anjitahidi sana kuzunguka mbuyu..
Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo?
Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk
Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai uhai ukitoka it perishes.
Mind,(akili) ni kama time mashine, inafanya kazi kwa kumbukumbu na matukio. So kama time ikistop na wewe haupo, so he wewe ni muda? (mind)? Lahaula
Nafsi, hii nayo ni illusion, inakuwepo in relevance to mind and body. Ni kama mwanga, unahitaji medium ili uonekane, hiyo medium ikipotea, existence yake nayo haipo. So nafsi japo wengi husema ndo wewe nayo ni batili, lasivyo basi wewe haupo wewe, wewe ni kila kitu na kama wewe ni kila kitu basi haupo.
Kwa maelezo hayo, basi ni dhahiri mimi na wewe hatupo. Yaani sisi ni kama AI tumejitengeneza kwa kutumia akili ambayo basically ni kiuongo kama mguu, na kiuongo hicho sio sisi.
Nawatakia utazamaji mzuri wa world cup Leo.
JF imeanza kua na watu wa ajabu, ukiuliza haya wewe haupo kwanini haupo?Nawatakia utazamaji mzuri wa world cup Leo.