Kumbe Marehemu ameacha wajane wawili!

Kumbe Marehemu ameacha wajane wawili!

Kosa liko wapi hapo, kwa waislam wameidhinishwa hadi wake wanne.

Mwacheni kidogo apate kuomboleza kifo cha mwenza wake.


Ila kwa harakaharaka sijsmuona duli.
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    127.7 KB · Views: 3
hakuna mtu anajua, hawa watu ni wa kuachana nao na waishi wenyewe huko zanzibar anayewataka awafwate huko lkn wasituletee mambo yao huku vinginevyo hatutatoka hapa kama nchi.
wewe uliona wapi dunia hii commander in chief of armed forces ni mke wa 2/3 wa mtu? come on man …

wagalatia bana, muna vituko sana
 
Huyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?

Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Allah amesema:
“Basi oeni mnaowapenda katika wanawake wawili au watatu au wanne. Lakini mkihofia kuwa hamtaweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu…”
— Qur’an 4:3

Daudi alikuwa na wake kadhaa. (2 Samweli 5:13)
 
Wao waliofiwa wasipoweka historia ya marehemu vizuri wanaacha gap ambalo paparazzi wanajaribu kulijazia.
Kwa nini wao wenyewe wanafamilia wasiweke wazi historia ya marehemu na familia yake walau kupunguza maneno kama haya?
 
Back
Top Bottom