Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,763
- 284,778
Huyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?
Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Kwa maelezo haya jibu ni ndioKwahiyo Madame President alikua kwenye mitala?
That's it 😎Kwahiyo Madame President alikua kwenye mitala?
UtamaduniKwahiyo Madame President alikua kwenye mitala?
Duli yupo alikua pembeni wakati yule jamaa anasoma wasifu wa marehemu duli alikua na macho yamevimba na huzuni na machozii yakilenga lengaKosa liko wapi hapo, kwa waislam wameidhinishwa hadi wake wanne.
Mwacheni kidogo apate kuomboleza kifo cha mwenza wake.
Ila kwa harakaharaka sijsmuona duli.
Walumendago wanasema huyu sio mshua wake. Mzee wake bado yuko hai. Hapo ndio nikachoka kabisaDuli yupo alikua pembeni wakati yule jamaa anasoma wasifu wa marehemu duli alikua na macho yamevimba na huzuni na machozii yakilenga lenga
Kwahiyo Duli kafiwa na bana yake. Pole sànaDuli yupo alikua pembeni wakati yule jamaa anasoma wasifu wa marehemu duli alikua na macho yamevimba na huzuni na machozii yakilenga lenga
KAWAIDA HATA KWENU IMEWAGUSA. NI AFRICAN WAY. WE ARE POLYGAMISTS, WE ARE AFRICANSHuyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?
Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Ndio mzee wake hafidh yeye na wanuKwahiyo Duli kafiwa na bana yake. Pole sàna
Hii DUNIA Ina mengi SANA SANAAAAAA TENA SANA sio kidogo Kuna taarifa jamaa Ali share hazina afya kabisa kuziweka humuWalumendago wsnasema huyu sio mshua wake. Mzee wake bado yuko hai. Hapo ndio nikachoka kabisa
Pole yao . Ingawa kifo ni kifo, tuache taharukiNdio mzee wake hafidh yeye na wanu
Kwa maelezo haya jibu ni ndio
That's it 😎
Utamaduni
duh, hii dunia bhana, kwa hiyo hata kwa mume wake siyo 1st choice, lkn kwetu ndiyo yuko responsible na nchi nzima na maisha ya watu zaidi milioni 50? crazy world …