Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,350
- 42,232
Baada ya interview itakua... Watu wasio julikana wameondoka na interviewee mpaka sasa hajulikani mahali halipo ☺️😊😂😂😂😂 Nakuja hapo na Millard ayo utupe habari
Baada ya interview itakua... Watu wasio julikana wameondoka na interviewee mpaka sasa hajulikani mahali halipo ☺️😊😂😂😂😂 Nakuja hapo na Millard ayo utupe habari
Huyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?
Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Nilisikia mzee alistaafu 2005..inabidi kuchunguza umri wa Mzee Hafizi na kipindi amemuoa Mama Abduli.
..Nadhani ni mke mkubwa.
Sio kweli,imani na dini ya Kiislam ni ruksa kamanda.Ata kama tunapingana nae au kumchukua hamna aja ya kufikia huko.Ujafa ...ujaumbika kamanda.Kwa maelezo haya jibu ni ndio
Familia ya raisi haiwezi kugombea Mali..Mgawanyo wa mali vipi nasikia ndugu wapigana ngumi
Aaah wapi. Nilitoa masharti hakuna cha Ayo wala nani, aje peke yake kunifanyia interview.Baada ya interview itakua... Watu wasio julikana wameondoka na interviewee mpaka sasa hajulikani mahali halipo ☺️😊
Kwamba hawako wawili? Au unabisha nini?Sio kweli,imani na dini ya Kiislam ni ruksa kamanda.Ata kama tunapingana nae au kumchukua hamna aja ya kufikia huko.Ujafa ...ujaumbika kamanda.
Samiah ni bibi mdogoHuyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?
Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Naijua hiyooo 😁😁😂Aaah wapi. Nilitoa masharti hakuna cha Ayo wala nani, aje peke yake kunifanyia interview.
Sasa naomba awaeleze waheshimiwa majaji yaliyojiri.
safi sana.Uislam unaruhusu kwa hiyo hoja ya mtoa habari haina tija.Nilisikia jana BBC mtangazaji alisema hvyo na baada ya apo mchambuzi wa history ya marehemu hicho kipengere aliruka..... Akabezi upande mmoja
Anyway kwa imani yetu kiislamu hilo jambo ni sunnah kubwa....halipaswi kuonewa aibu ata.
Nilisikia mzee alistaafu 2005
Samiah ni bibi mdogo
Sahihi kabisa...halafu inaelekea Mzee Hafiz alikuwa mtu poa sana, asiye na makuu, tofauti kabisa na Mama Abduli na genge lake.
..nimeguswa na historia ya Mzee Hafiz kwamba alikuwa akiswalisha ktk mmoja wa misikiti, pia alikuwa muadhana wa msikiti huo.
..Nalazimika kuamini kwamba Mzee Hafiz hakuunga mkono matendo ya kikatili ya utawala wa Mama Abduli.
..Mzee Hafiz amefariki akiwa na umri gani?
Sip rahisi kama.unavyo fikiriaFamilia ya raisi haiwezi kugombea Mali..
Wakati akitaka Leo anaenda kuchukua contena la makontena ya dhahabu bureeeee kabisa na kuya fukia kwenye ground yake kwa manufaa ya vizazi vyake vijavyo
Au kukwapua pesa benk kuu na kuzi hifadhi ughaibuni
Raisi Hana njaa njaa kwa Katiba yetu pia ingebidi KAFARA LA WATU 1000 MZEE HAFIDH APONE MBONA WANGEPATIKANA ILA NDIO IVYO KIFO HAKINAGA MJANJA KIKIKUITA HAUKATAI
Alishaachana naye ila ilibidi ajitokeze kukidhi protokaliHuyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?
Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Nyie watu mnaishi nchi gani?Kwahiyo Madame President alikua kwenye mitala?
Hafizi kazaliwa 1946, kaoana na samia 1978...inabidi kuchunguza umri wa Mzee Hafizi na kipindi amemuoa Mama Abduli.
..Nadhani ni mke mkubwa.
Huyo mke mwenza kaipata au anaipata fresh kutoka kwa mwenye roho mbaya kama huyu.Nilisikia jana BBC mtangazaji alisema hvyo na baada ya apo mchambuzi wa history ya marehemu hicho kipengere aliruka..... Akabezi upande mmoja
Anyway kwa imani yetu kiislamu hilo jambo ni sunnah kubwa....halipaswi kuonewa aibu ata.