mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 254
Kitunguu saumu hakina gharama kaka.
Gharama kubwa ni mbegu maana ili upande mbegu za vitunguu saumu ni vitunguu vyenyewe wakuu. sasa unakuta heka moja waweza tumia debe 5 au sita (tegemea na space yako utakayoamua) kingine ni mbolea hasa ya kuku japo wakati wa kupanda pandia DAP na weka mbolea ya kuku kisha jiandae na dawa ya ukungu (RIDOMIL GOLD NI NZURI SANA)
mwishoni vikiwa karibu kukomaa weka booster aina ya SUPER NEO HIGH K ili ku boost zile bulbs huko chini.