Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

Kitunguu saumu hakina gharama kaka.

Gharama kubwa ni mbegu maana ili upande mbegu za vitunguu saumu ni vitunguu vyenyewe wakuu. sasa unakuta heka moja waweza tumia debe 5 au sita (tegemea na space yako utakayoamua) kingine ni mbolea hasa ya kuku japo wakati wa kupanda pandia DAP na weka mbolea ya kuku kisha jiandae na dawa ya ukungu (RIDOMIL GOLD NI NZURI SANA)
mwishoni vikiwa karibu kukomaa weka booster aina ya SUPER NEO HIGH K ili ku boost zile bulbs huko chini.
 
Wataalamu na wazoefu wa kilimo cha vitunguu na vitunguu swaumu (garlic) msaada tafadhali.
Nahitaji kufahamu kwa undani zaidi kilimo hicho
 
Hakuna kilimo ambacho hakijawahi kujadiliwa humu. 'search kilimo unachotaka utasoma na kutosheka bila ya kuhitaji tena hao wataalamu'
 
Mbona mrejesho hamtoi kamili mapenz matam na wengine mliohaidi kukilima tokea 2016 mpo kimya, au ndo tujiongeze kuwa hali haikuwa sawa
 
dah, hiki ni kikwazo sana japo return yake ni kubwa. ingetokea benki inasupport horticulture ingekuwa poa sana.
Jaribu na benki ya kilimo maana wamejipambanua vyema kwenye kuinua wakulima waina nyingi unaweza pata unachowaza, usisite.
 
Natamani mtu aliyelima kitunguu swaumu atuletee mrejesho kamili kutusaidia yafuatayo
Ekari ngapi alilima
Alilima maeneo gani, hali ya udongo
Miezi gani na ilikua na hali ipi ya hewa
Umwagiliaji au mvua
Mbegu kiasi gani na garama
Utunzaji wa shamba na gharama zake
Muda hadi kuja kuvuna
Soko likoje
Gharama zote kwa ujumla hadi kuuza
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom