Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

ukisoma Quran na hadith Vizuri actually unaweza ukadraw the logical conclusion kuwa uislam wa kweli upo ISIS na boko haram....kwingine kote umenajisiwa na watu wenye ajenda zao (kama haki sawa, tolerance, Lgbtq etc.)
Unesoma Uislamu kwa kiwango gani ? Maana hao ISIS hata kusali hawajui, achilia mbali kuisoma tu Qur'aan.

Yaani kwa ufupi si Wasomi wa dini, labda kwa kuwa huwa habari zao mnazipata kwenye vyombo vya Habari vya Kimagharibi, vyombo ambavyo havijui kuyaweka mambo katika uhalisia wake.

Kina muda ujue huwa najiuliza hivi ujasiri wa kuandika mambo ya uongo na usiyo kuwa na ushahidi nayo,huwa unaupata wapi ? Haya ndiyo madhara ya kutokuwa na dini, yaani kuzua uongo kwako si tatizo kabisa.
 
wewe huwa unazipata kwenye vyombo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe huwa unazipata kwenye vyombo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nazipata tokaclwa Wahusika na watu waadilifu ila siyo hawa, ambao ukweli wa ISIS hawaujui.

Ni koma la kielimu kuwa nasabisha watu na Uislamu hali ya kuwa Uislamu inawakataa, huki tunakuita ni Upotoshaji wa makusudi, na mtu mwenye akili timamu hafanyo haya.
 
kwamfano...wanakosea nini kinyume na maandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku tutafata baadae baada ya wewe kujibu ombi langu. Hapa nataka nikufundishe ya kuwa usiandike mambo usiyo kuwa na Elimu, kila siku tuna waambia sasa sijui masikio yenu yana vizibo au ndiyo uzwa zwa.

Wewe ndiyo unipe hayo maandiko mengi ila matatu yenye kuwaunga mkono ISIS ila yawe yanatoka katika Qur'aan na Hadithi, usipo weza inabidi utubu una utuombe radhi sisi Waislamu.
 
Huki tutafata baadae baada ya wewe kukibi ombi langu. Hapa nataka nikufundishe ya kuwa usiandike mambo usiyo kuwa na Elimu, kila siku tuna waambia sasa sijui masikio yenu yana vizibo au ndiyo uzwa zwa.

Wewe ndiyo unipe hayo maandiko mengi ila matatu yenye kuwaunga mkono ISIS ila yawe yanatoka katika Qur'aan na Hadithi, usipo weza inabidi utubu una utuombe radhi sisi Waislamu.
kwanini mpaka matatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini Msumbiji na Tanzania wasishirikiane kupandikiza wapiganaji huko ili iwe rahisi kuwamaliza
ni wazo zuri, inawezekana... lakini si jambo lelemama kupandikiza watu ndani ya hayo makundi... kwa jinsi tunavyopata kuwasikia kwenye hizi media... kumbuka tuwawinda hivyo kunawafanya wachukue kila aina ya tahadhari... hivyo pandikizi linatakiwa liwe ngangari kwelikweli.... tena jasiri haswa... na ambaye anajua anaenda kufanya nini huko...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
let us agree to disagree.

with all due respect wale jamaa huwa wana point ndomana wanafanikiwa kuwavutia vijana wengi.
Maandiko mengi ya kiislam yako upande wao

ukisoma Quran na hadith Vizuri actually unaweza ukadraw the logical conclusion kuwa uislam wa kweli upo ISIS na boko haram....kwingine kote umenajisiwa na watu wenye ajenda zao (kama haki sawa, tolerance, Lgbtq etc.)
Utakuwa hujasoma vizuri Quran na hadith, mana ukisoma vizuri utajua kuwa kuwa wanachokifanya wao hakimo ndani ya Quran lakini ukiisoma Bibilia basi utajua kuwa wanafuata Bibilia inavotaka. Tatizo hamusomi Bibilia vizuri mkaona inakuamrisheni nini mnainajisi kwa matamanio y nafsi zenu tu.
 
Tukianza kuwakemea watu kama akina Aboud Rogo kama wale masheikh wa zanzibar....ndugu zao katika iman wanalipuka kuwatetea na kutuita wabaguzi
Tusichafuane
Bernard Membe n "ndugu wa iman" wa hao jamaa???
lissu n "ndugu wa iman" wa hao jamaa????
Mi naona tz kila ktu kmefanywa siasa ndo ktu kitaiponza hii kantreee
 
Back
Top Bottom