Kumbe Askofu Gwajima anaweza kuanzisha chama cha siasa na kikawa na nguvu kuliko CHADEMA

Huyu ikitokea akahama ccm harafu akahamia chama kingine na kupewa nafasi Kama kiongozi atakuwa na nguvu ya AJABU Sana maana nchi nzima Kila Kona uungwaji mkono ni mkubwa kuliko kawaida,, Japo awe makini wata msumuraizi au kumlowasaraizi au kumwangemberaizi au kumgufuraizi otherwise anatakiwa asome kwa umakini wa hali ya juu Sana alama za nyakati.
 
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.

Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.

Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.

Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.

Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Hivi unafikili kuanzisha chama na kufika level ya watawala kukiogopa ni kazi nyepesi

Hayo makeke yake yote anayafanya sababu yupo ccm, lingine ccm ya sasa inamakundi hata kama hayaonekani so inawezekana yeye ni speaker tu walioshika mic (vigogo wa chama) wapo nyuma. Siro kamjibu waziri wa Afya kama vile anamjibu Mnyika, ndio ufahamun kuwa hata Siro anakundi lake linalomtumia.
Ni mweli hata Mimi nimeshangaa sana Siro alivyomtetea Kibwetere wa Tanzania.
Nakumbuka Kule Moshi kuna gaidi wa kidini alimwaga mafuta na kuwashawishi watu kwenda kuyakanyaga kwa spidi kali huku akijua kuwa mafuta yanateleza. Matokeo yake aliua watu zaidi ya 20 na ushee.

Alitoroka na baadae akajipeleka kwenda kujidhamini na kurudi nyumbani kwake . Yani MTU ameua watu 20 kwa mgongo wa dini kama Kibwetere halafu hata mahakamani hakufikishwa ili ushahidi uletwe kuthibitisha kuwa hakuua kwa kukusudia lakini anachukuliwa poa tu kwa sababu in shabiki wa CCM.

Sasa Rais chanjo ni salama ,waziri anasema Chanjo ni salama ,wataalamu na wansayance wanasema chanjo ni salama lakini Gwajima anapinga kwa nguvu zote bila ushahidi wa kitaalam.
Anachanganya watu na kuoyumbisha serikali.

Siro ameonyesha upendeleo wa wazi kwa kada huyu wa CCM alitetumia dini kupinga pinga serikali na nia ya serikali ya kuwakinga watu wake na korona.
Mbowe alikua ana nia tu ya kwenda kwenye kongamano la Kuunga mkono Katiba Mpya iliyoanzishwa kihalali na serikali ya CCM. Lakini akaambiwa kuwa ni Gaidi.

Sasa Gwajima aliyeipinga serikali na Msimamo wa Rais mpaka sasa Siro anamkingia kifua na kusema kuwa hakuna Jinai. Tujiulize wale waliokua wanasali kule Mbeya na Mwanza walifanya Jinai gani kwenye Ibada ?
Je, kumwombea Kiongozi wa Upinzani ni Jinai kubwa kuliko kumpinga Rais kwa sababu ya imani za kidini?

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.

Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.

Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.

Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.

Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
😂😂😂😂 Chadema yenye wanachama mil 10 na 7m wanalipa kila mwaka anakazi sana
 
Kikanisa chake kimemshinda ndio chama cha siasa?!
 
Kwa vyama vya upinzani vimeonekana kupigania maslahi ya vyama vyao zaidi kuliko ya wananchi na kwa kuwa vyama vingi vya upizani vimepoteza vibali kwa wananchi kutokana na kupinga maendeleo ya wananchi na kwenda kinyume na misimamo yao na sera zao zilizowapa umaarufu, ikiwa Gwajima atafanya hivyo kuna uwezekano mkubwa akawa ndio mpinzani mkuu.
 
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.

Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.

Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.

Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.

Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Naunga mkono hoja na wananchi wote tuliokuwa tunamkubali Jpm tutahamia hicho chama, maana Ccm tumeichoka ila hatuoni mbadala wa chama cha kuhamia mpaka sasa
 
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii anayoipeleka moja kwa moja kwa wafuasi wake waliotapakaa nchini kupitia makanisa yake kuwa tusiyumbishwe na misimamo feki ya Serikali kuhusu chanjo ya Korona.

Tafsiri hii inaniambia kuwa Mchungaji Gwajima kama watu wanavyomwita jina la utani Gwaji Boy kama kiongozi wa wafuasi wake ameonesha kutotetereka na kusimamia misimamo thabiti kulingana na miongozo yake ya imani toka hapo awali , hii inaonesha kuwa Gwajima ni binadamu ambaye ni kiongozi kwa imani mwenye misimamo imara ambayo ipo tofauti sana na hii ya wasaka tonge kama kina Mnyika , Tundu Lissu , Mbatia , Zitto Kabwe na viongozi wengine wa kisiasa.

Gwajima akianzisha chama chake cha kisiasa na akaongeza miundombinu na akaweka sera nzuri ambazo zinatekelezeka zenye mlengo wa kutatua matatizo ya watanzania na kwasababu mpaka sasa tayari anawafuasi karibia mikoa yote nchini basi kwa hali hiyo anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa mwenye mapinduzi makubwa nchini.

Sifa kubwa ya ushawishi aliyonayo hii ni moja ya kigezo kikubwa kwake.

Nileteeeni Gwajimaaa
Nileteeni Gwajimaaaa
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaa .... maneno ya mwendazake JPM.....
Labda atawapata misukule,
 
Askofu Gwajima anaizidi kwa mbali sana Chadema. Hakuna kitu Chadema kwa sasa, Chadema ilikuwa enzi hizo siyo hawa vibaraka wa mabeberu wa sasa na wafanya ugaidi
Hta Hamad Rashid ama Zitto mliwajaza hivi hivi. Leo hii wako wapi!! CHADEMA iangalie tu hivi tayari kna hard core supporters kabla ya kampeni walau wana kura 2m mfukoni!! Hakuna chama kingine cha upinzani kina capital hiyo.

Gwajima maybe ataenda ACT awe mgombea Urais hapo ata mount serious challenge ila linapokuja suala la wabunge na madiwani ataambuliaa viti maybe 5 maximum!! Chama kinahitahi network ya grassroots inachukua miaka 15 kufikia ilipo CHADEMA so umaarufu wa wiki hizi 4 usimpe kichwa. Kumbuka Membe alivyotrend humu mitandaoni ila alipohamia tu ACT kwisha habari.
 
Askofu Rashid siku zote ana mwanzo tu,kila jambo analolianzisha halina mwisho wa kueleweka.

Train ya umeme

Wapiga kura Kawe kupelekwa USA

Boat za uvuvi Kawe

Ujenzi wa Ghorofa refu kuliko yote Tanzania

Hataki Ubunge yeye ni mkubwa kuliko Rais na Wabunge....

Kumfufua Amina Chifupa.
Alichofanikiwa pekee ni KUJIUA NA KUJIFUFUA mwenyewe .......!!
 
Back
Top Bottom