kuanzisha chama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

    1. Mwabukusi 2. Mdude 3. Anangisye 4. Jwani Mwaikusa 5. Dkt. Ulimboka 6. Mwangosi Bonus Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya Mtaji wa kisiasa wanao, 2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
  2. raisiajaye

    Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

    Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya. Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
  3. R

    Kuna haja ya Tundu Lissu kuanzisha chama cha siasa kwa masilahi mapana ya Taifa

    Habari JF, Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani? Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu...
  4. Lycaon pictus

    Naomba kufahamishwa taratibu za kuanzisha chama cha siasa?

    1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama? Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu. 2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda? • Wanzilishi wawili watawasilisha maombi ya usajili wa muda kwa kujaza fomu maalumu wakiambatanisha na katiba na kanuni za...
  5. S

    Kumbe Askofu Gwajima anaweza kuanzisha chama cha siasa na kikawa na nguvu kuliko CHADEMA

    Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii...
  6. Z

    Kama Lissu anaweza kuchanga karata zake, vyema akafikiria kuanzisha chama chake

    Kuna kila dalili Chadema imepata doa ambalo haliwezi kufutika. Mbowe anatuhumiwa kwa kesi ya Ugaidi kosa ambalo ni hatari sana kwa usalama wa nchi, ni ukweli usio na shaka kuwa Japo bado ni tuhuma lkn ni tuhuma nzito. Sio tu ni pigo kwa Mbowe mwenyewe lakini pia lina athari ya moja kwa moja kwa...
Back
Top Bottom