Kumbe Askofu Gwajima anaweza kuanzisha chama cha siasa na kikawa na nguvu kuliko CHADEMA

Acha kuamisha magoli, usiingize CHADEMA kwenye suala hili ili mpate pa kutokea. Watu wasio na misimamo ni CCM kuanzia mwenyekiti wao mpaka wanachama na imeambukiza mpaka Selikari yote. Miezi 6 nyuma msimamo ulikuwa kujifukiza na mashine ya kujifukiza ikawekwa Mhumbili National Hospital na Waziri huyu Dorothy na manaibu wake wote walikataa chanjo.

Mtu pekee CCM mwenye credibility ya kusapoti chanjo kwa sasa ni Ndungulile maana alikataa bungeni na ikamgharimu uwaziri wake wakati huo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Alipinga kujifukiza au chanjo?
Ninavyokumbuka alipinga kujifukiza.
 
Hayo makeke yake yote anayafanya sababu yupo ccm, lingine ccm ya sasa inamakundi hata kama hayaonekani so inawezekana yeye ni speaker tu walioshika mic (vigogo wa chama) wapo nyuma. Siro kamjibu waziri wa Afya kama vile anamjibu Mnyika, ndio ufahamun kuwa hata Siro anakundi lake linalomtumia.
Zero ni Sukuma Gang na Askofu Chidi ndiye mfadhili mkuu wa hilo genge na ameliasisi kitambo tu.
FB_IMG_1618549208269.jpg
 
Alipinga kujifukiza au chanjo?
Ninavyokumbuka alipinga kujifukiza.
Na ndicho ninachosema Ndugulile alipinga kujifukiza kwasababu haiko kisayansi lakini huyu Dorothy yeye alipinga chanjo na kuna mpaka video akihasisha watu wale malimao na tangawizi leo hii anapata wapi moral credibility ya kuwaambia watu wachome chanjo alizozipinga miezi 6 tu iliyopita

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kitakuwa ni chama ama kikundi cha washarika? nani atakisajili.
 
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM
Labda akasajilie kenya
 

Zab 118:22-24​

'' Jiwe walilolikataa waashi( mafundi nyumba ) Limekuwa jiwe kuu la pembeni( yaani jiwe la msingi , linalobeba nyumba nzima ). Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu................................ "

MUNGU HAJAWAHI KUMCHAGUA MTU MKUBWA KUTOKA KWA WANAOWEZA SANA, BALI PALE AMBAPO HAKUNA UWEZEKANO ILI KUISHINDA BUSARA YA KIBINADAMU

- Musa Alikataliwa na Hakujikubali mwenyewe kuwa kiongozi Wa Israel ( Hakuweza Kuongea vizuri Kama Wachapa Maneno Wasiasa)
-Daudi Alichekwa Pale Aliposema Anaweza kumpiga Goliati
-Yesu Hakuzaliwa Katika Familia Tajiri au Ya Kifalme
 
Kwa kutumia simple logic, aliwaambia waumini wake ana uwezo wa kufufua wafu, ni utapeli wa hali ya juu. Kanisa ni mkusanyiko wa jumuiya tofauti wenye imani moja, na chama cha kisiasa ni mhusanyiko wa jumuiya zenye itikadi sawa, kwa kuwa kanisa ni la kitapeli basi na chama ni cha kitapeli. Atatapeli watu"tutashinda kwa jina la Yesu" na wataangukia pua kwa jina la Yesu.
 
Na ndicho ninachosema Ndugulile alipinga kujifukiza kwasababu haiko kisayansi lakini huyu Dorothy yeye alipinga chanjo na kuna mpaka video akihasisha watu wale malimao na tangawizi leo hii anapata wapi moral credibility ya kuwaambia watu wachome chanjo alizozipinga miezi 6 tu iliyopita

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mtu akishika nafasi Fulani ya juu,hujiona yeye ndiyo mwenye mawazo mazuri kuliko wote.
Anapaswa kusikilizwa kwa kila tu.
 
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama seh
Askofu Gwajima anaizidi kwa mbali sana Chadema. Hakuna kitu Chadema kwa sasa, Chadema ilikuwa enzi hizo siyo hawa vibaraka wa mabeberu wa sasa na wafanya ugaidi
 
Askofu Rashid siku zote ana mwanzo tu,kila jambo analolianzisha halina mwisho wa kueleweka.

Train ya umeme

Wapiga kura Kawe kupelekwa USA

Boat za uvuvi Kawe

Ujenzi wa Ghorofa refu kuliko yote Tanzania

Hataki Ubunge yeye ni mkubwa kuliko Rais na Wabunge....

Kumfufua Amina Chifupa.
Hahahaaaaa kuhusu hizo ahadi ni nimo,na shindwa hata kumtetea kabisa.
 
Back
Top Bottom