~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

Aaaaa MMK umeachia sehemu siyo bwana ungesogeasogea mbele kidogo angalau. Huyo Mjamaika na hilo ombi lake kwa Clementina mmmh sipati picha.............
 
thanks Mwanakijiji hiyo sehemu nyingine unasubiri Jmos siku ya kidate?asante sana kwa kutupa burudani
 
........Sipati picha Tina anapoambiwa aende amenyoa nywele sehemu zote isipokuwa kichwani tu.Mjamaica ana mambo huyu, haya ngoja tusubirie sehemu inayofuata tuone kwa nini Tina aliambiwa anyoe nywele zote isipokuwa kichwani........kwa nini mjamaica hataki nywele sehemu nyingine? I think majibu nitapata sehemu inayokuja.

Aaaaaaaaaah usitumalizie utamu bwana!
 
Hadithi tamu hii..Kuna kitu nimejifunza kumbe wanandoa wanaweza kukaa miezi saba bila kujuana kwa namna ya kibiblia na wanalala kitanda kimoja..Duu!huu mtihani mzito sana..I wish kama ingeigizwa na kuwa filamu au tamthilia ingeuza sana ukiacha kitabu cha hadithi.Ila kuna vitu Mwanakijiji mmh,umetuongopea,nitakuambia baadaye..
 
I hope ur not going to the same saloon..

hahha why not? labda ntaonana na Mke wa waziri na tutakuwa marafiki uniweke kwenye story..:target:...

aha Brazilian? I can sense where u r heading.... Mjamaika sio mchezo duh
 
Hadithi tamu hii..Kuna kitu nimejifunza kumbe wanandoa wanaweza kukaa miezi saba bila kujuana kwa namna ya kibiblia na wanalala kitanda kimoja..Duu!huu mtihani mzito sana..I wish kama ingeigizwa na kuwa filamu au tamthilia ingeuza sana ukiacha kitabu cha hadithi.Ila kuna vitu Mwanakijiji mmh,umetuongopea,nitakuambia baadaye..

the whole story is fictional.. na kwenye fiction everything is possible..
 
THANK THE GOOD LORD!
Fictional as it may be.... ni ukweli wa maisha ya wanandoa wengi..... ukimwona wa kwako wa nini..wenzio wanasema watampata lini!?
Jihadharini na uzembe kwenye ndoa zenu mliooa/kuolewa....Waziri mzima anashindwa kete na Mjamaica! Wako wengi hawa.
SHAURI ZENU....BOSS, NA WENGINE MPOOOOO?
 
duh.. hapa utawafanya watu waache kampeni waanze kuuliza ya mamsap!... Jamani hata Wajamaika nao wanastahili kupendwa ama?
 
Kunradhi.....waliowakilishwa na Mjamaica...... samahani sana....

Hujakosea MMKJJ... nilichomaanisha ni hivi... kuna kujiamini na kujisahau mno kwa wanandoa.Kama mume hajali kabisa amfanyiacho mke mathalani... hasa manyanyaso ya hapa na pale..... kujikita zaidi nyumba ndogo nakadhalika hilo ombwe analoacha siyo kazi kubwa saaaana kuliziba na kwa style ya Tina vs Mjamaica .Jana nilibahatika kuongea na mama mmoja wa makamo sana... huyu mama sikuamini alichokua anakisimulia tena kwa kujiamini mno.Nitaku PM kama unataka full mkanda maana nitashtua watu hapa nikisimulia.Cha mwisho ....hitaji la kupenda na kupendwa haliishi kwa kuolewa na kuwekwa ndani,kula, kuvaa na kulala!HABARI NDIO HIYO.
 
Naamini hilo neno lako la mwisho ndio msingi wa sakata zima la Freddy na Clementina.. nimeipenda.
 
Mwanakijiji Hadithi yako ni mwanzo mwisho tunaomba uendelee na uimalizie kama ulivyotuanzishia uhondo.
usipokonye tonge mdomoni.....
 
Najua watu wana imagination ambazo sijawahi kutarajiaa.... hata mimi nasubiri hiyo j'mosi maana...

Which is so sweet Mwanakijiji; hakuna kitu murua kwenye hii hadithi yako kama the suspence within.................ah we acha tu! Haki ya nani........ivi ulinambia unatumia kinywaji gani? :becky:
 
mbona humalizii babu Mwanakijiji unatuacha na tamaa ya maswali kichwani
 
Jumamosi ; Saa 6 kamili mchana!...........................................:A S clock::yawn::yawn::yawn::sleepy::sleepy::sleepy:

Naendelea kusubiri!
 
Back
Top Bottom