~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

Mmhhh
Hivi hujajua mapenzi ni uchafu??
Kama utajali usafi kwenye mapenzi basi utakosa vingi Lol

hehehehe nimenyosha mikono, ndo maana hutakiwa kuwa na mmoja tu mwenye kupata huo uchafu. Kama ilivyoandikwa 'na hao wawili watakuwa mwili mmoja' full stop.
 
mmh.. nemesis si wote wanaamini "ilivyoandikwa".. wengine kwao imeandikwa mmoja aweza kuwa na "wanne" na wengine hakijaandikwa chochote wanaweza kuwa nao hata 200!
 
hii hadithi si uimalizie yote tujue mwisho wake. Wenzako kina Shigongo wanatoa vipande vipande ili mtu anunue toleo la gazeti lijalo, sasa mwanakijiji unaikata kata kama tunalipia lol
 
hahaha sasa nikiimalizia next day mtakuwa mnatarajia nini.. back to the same old life where nothing exciting is waiting for you!... hii weekend nimecheka sana maana watu wanaandika kila mmoja anakisia how is going to go down on Saturday!!! Bado ipo Ijumaa kwanza!
 
Big up Mwanakijiji ...Itabidi uanze kutoa vijarida ..

ila nimetiwa matumaini sikufikiria watu watasoma kisa kirefu maana nasikia wabongo wanapenda vitu vifupi vifupi tu .. ila naona kama funzaduma anawakilisha kundi hilo.. ila yuko kwenye kundi la wanaosoma kwa kasi..
 
Mwanakijiji angalia na hatari unayoitengeneza, sina shaka kabisa watatokea ma TINA na Wajamaica wengi tu humu JF
 
Mzee Mwanakijiji, asante sana kwa hadithi nzuri ya kusisimua, itapendeza kama utaitoa yote mara moja, maana unatuweka roho juu kujua nini kitafuata, please bandika yote. Asante
 
Hadithi nzuri, ni kama kisa cha kweli maana usaliti umekidhiri. Just imajine minister's wife with a kiosk vendor. ama kweli mapenzi kizungumkuti. Ok nasubiria kilichojiri baada ya kutoka stedium
 
Mke wa waziri kapatwa na infatuation :target: eti first date kisha toa halafu in public.... yani haogopi scandals huyu. wakimtoa kwenye tabloid si itakuwa fedheha.... ooow u know sex sales and this story is more erotic so way to go Bredah... you have got the knack on story telling, Thumps up
 
Duh Mwanakijiji yaani ingekuwa tunalipia kuingia JF ingebidi wakulipe ten percent maana kwa kweli umetushika maana kwa sasa mtu lazima utie mguu JF ....kisa Kumbatio la mwenye Makosa lol mie huwa naprint nadhani baadae nitaibind ukikamilisha mwisho.

Ni nzuri sana, I cant wait for another Sura
 
Mwanakijiji wewe ni mzee au Kijana?nimeipenda hadithi yako ni nzuri inavutia na inafundisha kwa wenye kupenda mafunzo
 
Duh Mwanakijiji yaani ingekuwa tunalipia kuingia JF ingebidi wakulipe ten percent maana kwa kweli umetushika maana kwa sasa mtu lazima utie mguu JF ....kisa Kumbatio la mwenye Makosa lol mie huwa naprint nadhani baadae nitaibind ukikamilisha mwisho.

Ni nzuri sana, I cant wait for another Sura

Mwanajamii.... utajuaje labda Mwanakijiji anatuonjesha tu hapa ikifika sura ya tano labda atakiweka sokoni... ! Huyu Mzee kasema this time yuko kicommercial zaidi so napata wasiwasi kama atatupatia andiko lote.
 
Amani.. yaani weekend hii yote nimepata maswali haya ya kulipia hadi nashangaa; kuna jamaa wametaka nisiendelee kutoa ili niwauzie watengeneze filamu hapo Bongo kwa hiyo sehemu za mwisho nizimezee ...
 
Mwanakijiji kwa faida ya Family yako JF imalizie ndio uwauzie ..Wao wameipata kupitia hapa
Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeees usitukatishe uhondo!
 
Jamani huyu Mjamaica wa Tina ni kibaka mzoefu yaani hana hata uwoga na wake za watu?? Amezoea huyu kabisa loh sikutegemea kama angecheza rafu siku ya kwanza tena rafu mbaya kama ile hadharani duh. Huyu mzoefu kabisa Mjamaica Mlugulu
 
MJI nadhani mwana mama alimjengea mazingira ya kumtamanisha..kama mwanamama alikuwa na siku mbili za kujiuliza atoke vip ili akifika kwa Mjamaica isiwe tabu kuvutika ? hawa wanaume ni viumbe dhaifu sana ...
 
Ni kweli FL1 lakini duh nilitegemea angemwambia lakini Tina hebu tutafute faragha kidogo sehemu ah yaani hata wangechukua room fasta fasta lol ..... Ila I like a guy like that mwenye confidance, I just wish angekuwa ndo wake kihalali
 
lol namie ndio hiyo nimeshidwa ku imagine.... eti hata kama watu hawajaona itabidi wamesikia zile sauti... lollllll eti mwanakijiji they should take it slowly bwana... mie naona atakae loose hapa ni Mke wa waziri...
 
Back
Top Bottom