Mzee Mwanakijiji, asante sana kwa hadithi nzuri ya kusisimua, itapendeza kama utaitoa yote mara moja, maana unatuweka roho juu kujua nini kitafuata, please bandika yote. Asante
Amani.. yaani weekend hii yote nimepata maswali haya ya kulipia hadi nashangaa; kuna jamaa wametaka nisiendelee kutoa ili niwauzie watengeneze filamu hapo Bongo kwa hiyo sehemu za mwisho nizimezee ...
Mwanakijiji sio kwamba nataka kupingana na wengi lakini nafahamu kazi ya kuandika hadithi ilivyo ngumu.. kuna kipindi unaweza andika hata kurasa mia lakini ikafika mahali ukasimama.Kwa kutambua hilo sioni kwa nini usikitumbukize sokoni kuona watu wanapokea vipi. Kwanza si watanzania wote wapendao usomaji wa vitabu wana access na JF so inakua umewakosea nafasi watu wengi zaidi.
I cant wait for the next episode... noooooooo its not getting to the end...:frown: kumbe hii story ni fupi? I expected it to be more than 500 pages...Baadaye leo itaendelea... halafu tutafunga kazi..
Mpendwa mbona humalizii mambo ya Mjamaica??
Tayari inaendelea angalia posti ya kwanza!!! Enjoy! One more episode!!!
Tayari inaendelea angalia posti ya kwanza!!! Enjoy! One more episode!!!
Naona nilipitwa na mengi hizi siku mbili tatu.... hebu nikazane kusoma maana ...chapter three ...natamani kurukia chapter 5!
Hongera Mkuu!
woow Let me take a printout nikaisomee pale salon while doing my hair...