Mkuu utatufukuzisha kazi namna hii, wengine tuko makazini alafu unafanya hadithi karibu na kweli.....kufuli zetu wengine kufunguka rahisi...
Mwanakijiji kitabu cha uso kwa uso na kamanda kitaanza kuwa hewani lini tukupe support mtu wetu...
Nikushukuru kwa hadithi yako yenye kufunza mambo mengi lakini MMKJ nikuulize ina maana Tina aliendelea na Mjamaika au ndo alisitisha au ndo inakuwaje?? Au ndo kutuacha kwenye suspense wasomaji tuhitimishe tunavyofikiri???
Ah wajua usiku wa leo nimeota yale yote yaliyojiri sura ya 7..... sasa ndo hangover ya ndoto bado inaendelea.Sura ya nane tena...
Ah wajua usiku wa leo nimeota yale yote yaliyojiri sura ya 7..... sasa ndo hangover ya ndoto bado inaendelea.
Kama umefuatilia vizuri utaona italiki zinatumika humu aidha kuashiria mawazo ya kile ambacho anakifikiria kimoyomoyo au kitu anachokisema akiwa na maana zaidi ya kinachotamkwa.
Asante sana.
haahhahhhhhhh ah we acha tu FL1 maana nahisi ningekuwa na mtu ningembaka lol............. ah juu ya yupi Mjamaika au Mwakijiji mh kwa kweli nafikiri nilikuwa na Waziri..... maana mjamaika ameshanitisha na maisha yake ninamdoubt na Mwanakijiji ni shemeji yangu sasa namheshimu. So nilikuwa na kile ambacho Clementina alikiona cha kazi gani...................kisa kilikosea lol mie nae!!MJ1 wewe ni mchokozi sana ..umeota ulikuwa na Mjamaica au MKJJ?
hizi hadithi za mwanakijiji unaweza kujikuta unabaka secretary lol maana wakati nasoma kameingia kasecretary na kimini mpk mate yamenitoka na nikiunganisha na hii hadithi ndio usiseme
haahhahhhhhhh ah we acha tu FL1 maana nahisi ningekuwa na mtu ningembaka lol............. ah juu ya yupi Mjamaika au Mwakijiji mh kwa kweli nafikiri nilikuwa na Waziri..... maana mjamaika ameshanitisha na maisha yake ninamdoubt na Mwanakijiji ni shemeji yangu sasa namheshimu. So nilikuwa na kile ambacho Clementina alikiona cha kazi gani...................kisa kilikosea lol mie nae!!
Got u.........but nafikiri ungeacha italic ikabeba maana moja tu ingekuwa bora zaidi kiuandishi na wasomaji wangefahamu zaidi. Nimezowea kuona Italic inatumika kuonyesha Inner most feelings or thoughts. Sasa uki mix up na maana nyengine kidogo unawapoteza wasomaji 'novels wazoefu'. unawapa tabu kufuatilia hadithi moja kwa moja
samahani kama nitakuwa nimekukwaza
Na vile huyu waziri alikuwa anapenda kuitwa Boss .. ukiiita boss natafuta mafaili ya EPA ,kwani Boss hujayaona mezani kwako ,Boss nakuja kukusaidia kuyatafuta kwisha habari yake ...