Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Kabisa mkuu!
Kabisa mkuu!
Kuna mdau kagusia magimbi hapo nimekumbuka mbaliteh teh teh ....endeleeni kuchangia najifunza mengi sana hapa!




duuh! mdada wa kwa mtogole, saivi umeacha kupiga glass au unazimuaga kidogoEnzi ninapiga kunywaji nilikuwa ninapiga ugali saa sita- saba nikirudi home, ninalala fresh lakini nilikuwa ninapiga gym once or twice a week
Nimemrudia Mungu siku hizi, mambo ya juice na maji.duuh! mdada wa kwa mtogole, saivi umeacha kupiga glass au unazimuaga kidogo
Sahihi. Akipendacho mtu hakina hila machoni. Halafu "there is no fixed time for breastfeeding"! Sasa basi, ni lini tumeanza kupangiana la kufanya na kupenda!?Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
Karibu home usiku wa leo..menu ni ugali maharagedemi mwenzio nakumiss!!
Sasa ugali maharage hiyo jamba yake si itakuwa siyo ya nchi hii?!!!Karibu home usiku wa leo..menu ni ugali maharage



Kujamba kitu gani banaa, njoo ugonge menu!Sasa ugali maharage hiyo kujamba si itakuwa siyo ya nchi hii?!!!![]()

Mm mwenyewe huwa namwambia hata mchumba wangu hata tukioana tuna nunua unga kilo 10 mchele kilo 3 ciz napenda sana ugali, yani huwa sifikiri chakula kingine zaidi ya ugali labda pilau lkn wali mweupe naona kama naidhurumu nafsi.Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote it's ugali time
Te te te te atakuwanacho mkuu...kinena!!!
Sent from my TV
Mtoa mada shule ni Bashite. Ulivyotaja vyote ni wanga. Na mmeng'enyo wa wanga huanzia kinywani. Your so foolishha ha haa!! mimi kwa kweli kama haujanianadalia/kuandaa ugali usiku siwezi kukuaelewa aisee!!
Hakuna kitu nakipenda kama ugali
Na vitu amabavyosipendi kula usiku ni ndizi, tambi na chips kwa kweli sijawahi kuwa mpenzi wa hivyo vitu.