Unatatajia nini ikiwa utaufakamia Ugali majira ya Usiku, ukiwa katika Nyumba ya kupanga...na wakati huohuo Umeuaminisha Ubongo wako kuwa wewe, ni mtu daraja/kiwango cha Masikini...!!
Tupo watu tunaula/tunakula Ugali kama hobbies, mchana na usiku, kitu cha msingi, ni kuwa na utaratibu tu wa kufanya mazoezi (Asubuhi na Jioni)
Ikiwa hutozingatia hili, huwezi kuboresha Afya yako Mwili na Ubongo, kuepuka pengine hizo ndoto za Majinamizi, hata kama utakuwa unakula Matunda pekee nyakati za Usiku.
Fomula ya ulaji wa vyakula vyote, inasisitiza na swala la kufanya/kushiriki mazoezi.
Nakataa kuwa ulaji wa Ugali nyakati za usiku ni Kiashiria cha umasikini.
Kwangu maandalizi ya Ugali, ni ya ghali (gharama) kuliko maandalizi ya chakula chochote...!!
Sent using
Jamii Forums mobile app