dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,475
- 2,078
Nimeipenda
Nimeipenda
AsanteNimeipenda
Babu yangu na bibi na hata wazee wengi wa kwetu, walikula ugali na makande miaka hao yote, lakini waligonga miaka themanini na zaidi.Wewe na elimu yako uchwara uliyopata, ukifika miaka arubaini na tano utakuwa na bahati sana.Ugali ni chakula kizito na digestion yake inafanyika taratibu hivyo matokeo yake digestion haiishi, chakula kinachacha na kuwa kigumu.
Ugumu wa chakula unafanya utumbo kukakamaa na hivyo kuongeza mgandamizo kwenye "diaphram' akili ita sence abnormality kutokana na huo mgandamizo.
Kwa kuwa umelala abnormality ndio hapa watu wanaanza kuota ndoto za ajabu na kuamka asubuhi wamechoka wakisingizia wachawi.
Usiku tunatakiwa tule chakula laini( tambi, wali, viazi, magimbi na ndizi) ila kwa sababu ya hali zetu za kimaskini wengine hatumudu hivyo vyakula hivyo ni mwendo wa ugali na maharage mbaya zaidi tunakula kiwango kile kile kama cha mchana.
Hii nayo ni aina ya umaskini kama umaskini mwingine! .
Kibaya zaidi, hata huo ugaliwengi tunakoboa mahindi na kuondoa protein yote, tunakula wanga mtupu ambao zaidi ya kuwa na energy, hauna virutubisho.Ugali ni chakula kizito na digestion yake inafanyika taratibu hivyo matokeo yake digestion haiishi, chakula kinachacha na kuwa kigumu.
Ugumu wa chakula unafanya utumbo kukakamaa na hivyo kuongeza mgandamizo kwenye "diaphram' akili ita sence abnormality kutokana na huo mgandamizo.
Kwa kuwa umelala abnormality ndio hapa watu wanaanza kuota ndoto za ajabu na kuamka asubuhi wamechoka wakisingizia wachawi.
Usiku tunatakiwa tule chakula laini( tambi, wali, viazi, magimbi na ndizi) ila kwa sababu ya hali zetu za kimaskini wengine hatumudu hivyo vyakula hivyo ni mwendo wa ugali na maharage mbaya zaidi tunakula kiwango kile kile kama cha mchana.
Hii nayo ni aina ya umaskini kama umaskini mwingine! .
Matusi ya Nini sasa?Mtoa mada shule ni Bashite. Ulivyotaja vyote ni wanga. Na mmeng'enyo wa wanga huanzia kinywani. Your so foolish
Ugali ni chakula kizito na digestion yake inafanyika taratibu hivyo matokeo yake digestion haiishi, chakula kinachacha na kuwa kigumu.
Ugumu wa chakula unafanya utumbo kukakamaa na hivyo kuongeza mgandamizo kwenye "diaphram' akili ita sence abnormality kutokana na huo mgandamizo.
Kwa kuwa umelala abnormality ndio hapa watu wanaanza kuota ndoto za ajabu na kuamka asubuhi wamechoka wakisingizia wachawi.
Usiku tunatakiwa tule chakula laini( tambi, wali, viazi, magimbi na ndizi) ila kwa sababu ya hali zetu za kimaskini wengine hatumudu hivyo vyakula hivyo ni mwendo wa ugali na maharage mbaya zaidi tunakula kiwango kile kile kama cha mchana.
Hii nayo ni aina ya umaskini kama umaskini mwingine! .
Imetusaidia kujua kuwa chakula chako cha jioni unakula kuanzia saa mbili usiku na kuendelea. Ushauri wa bure, kula chakula chako cha jioni/usiku kabla ya saa 10 jioni, ugali inclusive.Ugali ni chakula kizito na digestion yake inafanyika taratibu hivyo matokeo yake digestion haiishi, chakula kinachacha na kuwa kigumu.
Ugumu wa chakula unafanya utumbo kukakamaa na hivyo kuongeza mgandamizo kwenye "diaphram' akili ita sence abnormality kutokana na huo mgandamizo.
Kwa kuwa umelala abnormality ndio hapa watu wanaanza kuota ndoto za ajabu na kuamka asubuhi wamechoka wakisingizia wachawi.
Usiku tunatakiwa tule chakula laini( tambi, wali, viazi, magimbi na ndizi) ila kwa sababu ya hali zetu za kimaskini wengine hatumudu hivyo vyakula hivyo ni mwendo wa ugali na maharage mbaya zaidi tunakula kiwango kile kile kama cha mchana.
Hii nayo ni aina ya umaskini kama umaskini mwingine! .
Nina kakaangu mkewe akipika chakula kingine tofauti na ugali lazima apikiwe ugali wake.
Wengine wanapenda tu ugali wala si kwa sababu ya umaskini. Halafu watafiti wa ugali wamekuwa wengi sana siku hizi kwani wazee wetu walikuwa wanakula nn enzi hizo!!!!
Hata kama hiyo ndiyo iliyokuwa maana yake mkuu,his presentation is ecxtremely poor.Nafikiri mleta mada analenga watu wasile chakula kizito (heavy meal) masaa machache kabla ya kulala ili kupumzisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na mifumo mingine inayohusiana nayo, kitu ambacho kitakuletea usingizi mwanana kabisa. Wataalamu wa lishe kujeni huku mtoe ushauri zaidi tafadhali
Ndiyo wale wanakula usiku mishikaki mitatu na ndizi 2 za kuchoma hapo eti mme ana mke huyoBasi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote it's ugali time
unategemea nini hapo kwa mkwe