Kula ugali na mboga za ajabu km ugali-maharage, ugali
In this case ugali = wali = viazi (chukua tano mkuu), ugali dhidi ya wali utakuwa moja ya chakula kigumu kama tu watu wanakula bila kumeza![]()
![]()
wabongo bwana mmedanganyana huko kijiweni unakuja kuanzisha thread.. ugali ukishautafuna mdomoni ukashuka tumboni unameng'enywa sawa na hivyo vyote ulivyotaja katika chemical digestion maana zote ni wanga
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Usiku hunilishi ugali lbd itokee dharuraDona + dagaa + mtindi = usingizi mnono.
Au ushikiwe bundukiUsiku hunilishi ugali lbd itokee dharura
Usiku hunilishi ugali lbd itokee dharura