Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
...yani nitoke zangu gym unilishe tambi,
..una wazimu?
..una wazimu?
Kumbe na wewe ulikuwa si wa mchezo mchezo [emoji1] [emoji1] [emoji1]Enzi ninapiga kunywaji nilikuwa ninapiga ugali saa sita- saba nikirudi home, ninalala fresh lakini nilikuwa ninapiga gym once or twice a week
Tambi chakula kizuri cha mazoezi....yani nitoke zangu gym unilishe tambi,
..una wazimu?
Haswaaa.Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka kuniaminisha kwamba wanaokula Tambi,ndizi, wali viazi na magimbi usiku ni matajiri?
..chakula cha watoto hicho,Tambi chakula kizuri cha mazoezi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwangu mimi usiku bila ugali wa dona bado sijakuelewe.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji6]DONA SAMAKI MKAVU MBOGA ZA MAJANI USIKU NA MCHANA HATA IKITOKEA VITA NAPIGA HIYO MENU NDO NAANZA KUKIMBIA
Same to me..ila cyo kwamba mi ni maskini nikiwa na hamu nao hata cku 3 mfululizo mi naula tu..Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
Rafiki Sasa kande likiwa na maharage mengi vipi kuhusu kujamba??[emoji53][emoji53][emoji53].......au hutishiki??[emoji53]Ninapenda makande yawe na maharage mengi kuliko mahindi na yakolee nazi.
Makonde ya boarding yalikuwa na mahindi mengi mafuta ya kunyunyiza
demi mwenzio nakumiss!!Umaskini unaingia vipi hapo mkuu? Bei ya unga na mchele inakaribiana sana na kuna wakati unga ulizidi mchele kwa bei.
Tueleze tu madhara ya kula vyakula vigumu usiku tutakuelewa.