excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,449
- 17,918
- Thread starter
- #141
Mkurya oyeeee
shem mzima wewe? namrudisha rasmi miss neddy kwenye castle yangu... i hope this time atatulia tuli kabisa kama maji kwenye mtungi!... ulinzi ntakaompa utakuwa zaidi ya ule wa CIA na FBI! ntakodi kabisaa wale jamaa wa mossad special kwa ajili yake!
Last edited by a moderator: