Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Acha hizo mkuu... Kasinde kanishika sana, nitarenew licence ya bastola yangu ukianza zakuleta hapa
Kama Kasinde ana umbo la namba 8 mkuu Tized wewe yapaswa kutuachia sisi tuserebuke nae wewe kapambane na akina miss neddy na miss chagga ambao wanakufaa

Sio udhaifu.. ni KUJIENDEKEZA.
Mkuu Bulldog na wewe ni mdhaifu wa hizi mambo au ni mzee wa vimbaumbau kama Tized
King'asti kuja pande hii, mimi ni Sony mwenzako.
Yaani mmechangamka kama mmetiwa ndimu na pilipili. Hivi niwaulize nyie wakaka, mnapata faida gani kuona makalio mapana? Yaani sie kina sony wega why hatuwastui?

Cc Kongosho

Acha hizo bhana
Wacha tuu wao akina Ntuzu na Tized na Excel hawajui hilo aise waache tuu wasije wakaleta interest zao kwao aise nikakukos abure

Hahahaaaa utafiti upo ndugu yangu?
hahahah mi flat screen lol na utafiti kumbe anapenda wenye neema ndo nimejua leo

Msikariri. Sio kila mtu.
usjiteee hakuna asiependa neema lol
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bulldog na wewe ni mdhaifu wa hizi mambo au ni mzee wa vimbaumbau kama Tized

Mimi kote kote napiga ila inategemea:

Kama ni wife material nachukua yeyote tu kwani naangalia zaidi moyo kwasababu ma.---- makubwa hayalei watoto katika maadili mema na hayaleti ustawi katika familia.

Kama ni wakupiga tu kwa mechi za nje, lazima nichague alienona aisee.
 
mashallah!utakuta anategemea kichuguu chake kama kitega uchumi,neema za kipozeo hizi lol!
 
Mimi kote kote napiga ila inategemea:

Kama ni wife material nachukua yeyote tu kwani naangalia zaidi moyo kwasababu ma.---- makubwa hayalei watoto katika maadili mema na hayaleti ustawi katika familia.

Kama ni wakupiga tu kwa mechi za nje, lazima nichague alienona aisee.

Hahahah Mkuu Bulldog hapo umenena aise maana wanasema ukichepuka chepuka na kitu kizuri kuliko mke wako bana
Ila sikufundishi ukachepuke mkuu heshimu ndoa yako aise
 
Last edited by a moderator:
mh mh mh! huo ushuzi balaa,unaweza kuweka chupa ya soda juu ya ushuzi huo na isidondoke pindi atembeapo.
 
Tized hiyo bastola hata alshababu wanazo bana hatuziogopi wewe Kasinde usimletee za kuleta mwache awe na mtu wa kumpooza huku nje wakati wewe unatumika kwa mhindi wako
Ile uko kazini wengine wanakula sausage na mayai uliyonunua na kupikiwa msosi kwa lile tui la nazi la kwanza wakati wewe unakuja kula makande
 
Last edited by a moderator:
Kaka hawa jamaa ni noma. wanakaba hadi kivuli mkuu.

Nashukuru sana kukusikia kaka. #TR idumu.
Mkuu Tized nipo kaka ila huyo muhindi awe anakupa mapumziko kidogo, mwambie na marafiki zako wanakuhitaji kigodo mkuu sio mda wote unafanya kazi zake...
Cc Mr Rocky kabanga Ntuzu

Hahahaaa. Siku namkuta huyu anaenilia vyangu ndio atajua
Tized hiyo bastola hata alshababu wanazo bana hatuziogopi wewe Kasinde usimletee za kuleta mwache awe na mtu wa kumpooza huku nje wakati wewe unatumika kwa mhindi wako
Ile uko kazini wengine wanakula sausage na mayai uliyonunua na kupikiwa msosi kwa lile tui la nazi la kwanza wakati wewe unakuja kula makande
 
Tized kumkuta sasa ni issue maana watu kama hao ni wajanja sana na wanajua namna ya kula na kupanguza mdomo aise
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa... umenikumbusha siku nimeiba shukari, hamadi mama huyu hapa... nikapangusa fasta kumbe kuna vichenga chenga vilibaki kwenye kidevu..... weeee.. hakuna rangi sikuona chali yangu.

Nimetega mtambo wangu nyumbani matukio yote ya siku nayapata mkuu... so ni kazi rahisi sana kumpata.
Tized kumkuta sasa ni issue maana watu kama hao ni wajanja sana na wanajua namna ya kula na kupanguza mdomo aise
 
Hii mashine namkabidhi kijana wangu utafiti apigie misele pale kino clain!

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom