Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Kaka mkubwa tupo bhana.... Wakoloni wametuweka taiti sana mkuu. Hope unafaidi sana kanda maaulumu ya ziwa huko
kaka nipo sana aisee! siwaoni siku hizi sijui tatizo ni nini?
Kasinde akija uniite!
Kaizer unamkumbuka mtajwa hapo juu?:cool2:

Thanks sweetlove!!! It was fantstic. kabanga kidogo nifikie ile rekodi ya kuwa hewani kwa masaa 17 kama yule muingereza.
Ah here beibe, namalizia kukutengezea milkshake
Ya tende hiliki na maziwa, love u much much my booboo. :A S 11:

Acha kabisa hio maneno kaka, Kama ni nguvu ya soda, tazima ukapoozewe MOI pale.
wewe hutaki alale sio... itawaka moto hiyo Kasinde!

Huku kwenye flat screen ni raha mustarehe
hili ulilolisema nitalifanyia utafiti, au Mr Rocky wasemaje... Excel umemsikia Tized hapa...?

Hahahahahaaaa... huna unyanya paa sio... Hii mambo imekaaga poa sana.
binamu mimi namshukuru Allah kwa kila kidogo alichowapa watu nasi wakatupatia haijalishi ana neema kama zile anazotaja sheikh kipozeo au hizi anazotaja Tized, kwa ufupi binamu mimi sio m'baguzi kila kitu kinautamu wake, unalijua hilo....

Mkuu huku msije... tuacheni wala hatufaidi wala nini... bakini tu huko kwenye mizigo yenu
Mkuu kabanga hebu fanya utafiti aise maana inawezekana Tized anafaidi sana aise ni vile sisi hatujajua maana haya mambo ya Excel tunayajoua ila ya Tized bado sana aise

Msije kaka... mnaweza msirudi tena kukata shingo huko. Just FYI
Mr Rocky, huweze jua Tized anavyofaidi, wacha tuangalie uwezekano nako huko....au Excel huko nako ulishajaribu...?

Jana nimekabidhiwa katiba Mpya... Muungano upo vile vile
Mkuu kabanga hebu ngoja tupate kauli ya Excel inawezekana kashafanya utafiti na kujua pande mbili za Muungano kuna kero gani
 
Last edited by a moderator:
Tized mbona makatazo mengi hivyo aise. kabanga inabidi tumfuate Tized kwenye mambo zake aise maana hili katazo inaoenekana anafaidi sana kwenye vimbaumbau vyake na gatutaki tena utafiti wa Excel wacha tuende wenyewe
Mmhh Muungano bado ni kero hiyo katiba yako ipeleke kwanza stoo mpaka tukishakubaliana ndo uilete maana kero zetu bado hazijatatuliwa
 
Last edited by a moderator:
Kama ni mkeo vipi unamruhusu atoke peke yake na kishuzi kimebanwa kiasi hicho,

ntakuwa kwa mbaaaali huku napima upepo nione ni kias gani macho yako kwenye auto rotation!

ukiwa na wife kama huyu manzi aisee inabidi uwe na roho ya chuma!.... atatongozwa sana!
 
Tized mbona makatazo mengi hivyo aise. kabanga inabidi tumfuate Tized kwenye mambo zake aise maana hili katazo inaoenekana anafaidi sana kwenye vimbaumbau vyake na gatutaki tena utafiti wa Excel wacha tuende wenyewe
Mmhh Muungano bado ni kero hiyo katiba yako ipeleke kwanza stoo mpaka tukishakubaliana ndo uilete maana kero zetu bado hazijatatuliwa

hmm... ! kwani Kasinde nae ni kmbaumbau mkuu? lol.. na mizoezi yote ile kumbe n geresha? lol... Tized sasa una kaz hapa!

so mm!
 
Last edited by a moderator:
ngoja nipatie picha kwanza lol

ooooh!!!

avatar20070_11.gif

hm! oh!... deim t!
 
nimeambiwa eti Perry ni demu? mkuu haukutia dole pale kweli halafu ukakataa kulipa ndo maana akakulipua? lol...

cc lusungo. Remote.. Baba V..

Ha ha ha hata mi nilistuka Sana baada ya Perry mwenyewe kunitamkia eti yeye ni demu....

Ikabidi nizame kwenye NSA nikagundua ni kweli ila yule kauzu Sana aisee maana anajua kujikaza kiume...

Hiyo picha sio yeye ye yupo kikakamavu hivi ukienda pupa unaweza sema dume
 
Last edited by a moderator:
Sitaki mje mtuvurugie huku kwenye flati sceen. walaji ni wachache so hakuna ushindani wa namba wala nini. So mkija mtaongeza msongamano huko. Bakini huko tafadhali.
Tized mbona makatazo mengi hivyo aise. kabanga inabidi tumfuate Tized kwenye mambo zake aise maana hili katazo inaoenekana anafaidi sana kwenye vimbaumbau vyake na gatutaki tena utafiti wa Excel wacha tuende wenyewe
Mmhh Muungano bado ni kero hiyo katiba yako ipeleke kwanza stoo mpaka tukishakubaliana ndo uilete maana kero zetu bado hazijatatuliwa

Sasa hivi kawa model wa kufa raia. Afu hizo details za baby Kasinde umezipata wapi? Ntataka official reasons kwake!!!
hmm... ! kwani Kasinde nae ni kmbaumbau mkuu? lol.. na mizoezi yote ile kumbe n geresha? lol... Tized sasa una kaz hapa!

so mm!

Mkia anao kaka ila sio kama wa kondoo uliyekua unamzungumzia
Tized anatudanganya hapa kashinde sio kimbaumbau bana ana mkia wa haja kabisa na usimsikilize Tized mkuu Excel

Huyu Mr Rocky ni macho juu juu kaka, mara miss chagga, mara sijui nani... taabu kweli kweli.
Mkuu unachanganya madesa asee! sweetheart anaitwa Kasinde sio kashinde!
miss chagga anakuchanga nini! msalmie mtaalam Dena Amsi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unachanganya madesa asee! sweetheart anaitwa Kasinde sio kashinde!
miss chagga anakuchanga nini! msalmie mtaalam Dena Amsi!

Excel niko na miss chagga hapa ndo anatype sasa mpaka anakosea badala ya Kasinde anaandika kashinde ni balaa hili Dena Amsi anavuna mahindi yuko salama kabisa na yeye kwa mkia ni balaa unaweza weka mtoto akakaa pale na asianguke
Ni kweli Mr Rocky yawezekana utafiti umeshafanywa na Excel, Excel hebu tiririka....
kabanga huyu Excel anatubania bana hataki kufunguka kama kashafanya utafiti wake
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kaka mkubwa tupo bhana.... Wakoloni wametuweka taiti sana mkuu. Hope unafaidi sana kanda maaulumu ya ziwa huko

Thanks sweetlove!!! It was fantstic. kabanga kidogo nifikie ile rekodi ya kuwa hewani kwa masaa 17 kama yule muingereza.

Acha kabisa hio maneno kaka, Kama ni nguvu ya soda, tazima ukapoozewe MOI pale.

Huku kwenye flat screen ni raha mustarehe

Hahahahahaaaa... huna unyanya paa sio... Hii mambo imekaaga poa sana.

Mkuu huku msije... tuacheni wala hatufaidi wala nini... bakini tu huko kwenye mizigo yenu

Msije kaka... mnaweza msirudi tena kukata shingo huko. Just FYI

Jana nimekabidhiwa katiba Mpya... Muungano upo vile vile

wewe Tized tia makatazo sijui katiba mpya, mimi kabanga, na Mr Rocky lazima tujaribu ndio tujue yaliyomo yamo au la.....
 
Last edited by a moderator:
Tized sasa kama mkia Kasinde anao basi wewe ni ndumilakuwili aise unauma na kupuliza kabisa
Ukiona maumivu yanazidi tuachie bana tuhangaike nae aise miss chagga nampenda maana ukiishiwa tuu humuoni tena na anakuondolea stress maana kila siku anataka pesa yule
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom