kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,580
- 18,952
huyu anatembeaje
halafu anamatege ya ndani....!
huyu anatembeaje
Mkuu wanakuambia wale vimbaumbau ni shideeer kama una kale katunda bamia huwezi kuwafikisha ila hawa wa kwetu hawa tunaenda nao sambamba hata na tunda lile dogo mkuu Tized ila ni story za vijiweni aise hatuwezi jua ukweli wake
Munkari hebu njoo huku, Excel anataka majibu. Hivi huyo ni miss nanihii, miss nanihii
au ni yule miss nanihii wa Kishumundu? Wewe ndo unawafahamu kwa kuwa ni jirani zako...
View attachment 191307
Inhiinhiinhiiiii... Ila sio mama mzazi!!!!
Watu wamejijengea hisia sana kwa wanawake wenye mikia mikubwa.. bila kujua wao wenyewe ndio wamejijengea hizo hisia na mihemuko.. wanafikiri ndio wamezaliwa hivyo..... Nachekaga kimoyomoto napokuwa na mdada mwenye mkia mkubwa anafikiri na mie ni mmoja wao anakuta hata sina habari naye..... Naona ni aibu mtu na akili zake kunaswa na makalio huku unajiona..... Oooh NOOOOOOO!!!!!.
huyu Tized hataki neema za Mungu.....
Halafu eti kavalishwa pete na kuachwa kupita uswahili. Huyo mwanaume mzima kweli huyo! Kwahio wenzake anafikiri tuangalie tuuuu! Kwani yeye nani banaaaaa! Ana nini? Nani alimwambia vitu kama hivyo ni vya mtu mmoja! Huo ni ubinafsi sana!mkuu ndo maana wahongaji hawaishi eenh?
huyu mrembo ni shiiida! lazima cruiser zigongane tu hapa!
Hahhahaaaaa..... Nambie utamu wa flat screen??
Mkuu kabanga ni kweli huyu Tized hataki neema ya Mungu waliyopewa hawa viumbe yeye anataka akishika akutana na mifupa badala ya nyamanyama
Mkuu Tized vijiweni ni balaa maana maneno ni mengi sana na ukishindana nao aise unaweza kwenda kwa kalumanzila kwa kutokujiamini ila ukijiamini mambo yote ni poa na kuridhika na kile ulicho nacho mkuu
Kama hao akina kalumanzila wangekuwa wana dawa wangetupa za kupunguza ukubwa wa ghaza tungeamini dawa zao
Hapo umenena kaka. Vijiwe vina mengi saaana. kazi kwetu kuchuja tu.
Karibu kwenye ulimwengu wa vimbao mbao.
Mkuu Tized sio lazima ziwe kubwa sana au kama za huyo dada hapo juu .ila at least mwili uwe na nyama bana zijae kwenye mikono sio unashika kitu unakutana na mfupa bana au wakati uko kwenye mteremko umegongwa na kiwiko utafikiri kuna jiwe limekuangukia
Kaa navyo mwenyewe bana mi vimbaumbau sina appetite navyo kabisa na nina allergy kabisa na hivyo vitu aise