Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Excel niko na miss chagga hapa ndo anatype sasa mpaka anakosea badala ya Kasinde anaandika kashinde ni balaa hili Dena Amsi anavuna mahindi yuko salama kabisa na yeye kwa mkia ni balaa unaweza weka mtoto akakaa pale na asianguke

kabanga huyu Excel anatubania bana hataki kufunguka kama kashafanya utafiti wake
Mr Rocky huwezi jua Excel na Tized wakawa lengo lao moja hawa kutunyima utamu wa huko, ila wajue wanamuweka njia panda utafiti, maana anataka kuingia kwenye chama mazima sasa atakuwa anapata shida achague wale au hawa....
 
Last edited by a moderator:

Kabisa mkuu kabanga nishaona juhudi kubwa hapa zinafanywa na Tized na Excel kutunyima fursa hii adimu ya kuonja flat screen aise
 
Last edited by a moderator:
Aisee msije huku wandugu... mbona ving'ang'anizi nyie sana nyie watu??????
Kabisa mkuu kabanga nishaona juhudi kubwa hapa zinafanywa na Tized na Excel kutunyima fursa hii adimu ya kuonja flat screen aise

Kawaida tu huku bhana. Endeleeni na akina Bantu lady (ana mkia zaidi ya kondoo)
kabanga jamaa huyu Tized bado anasisitiza makatazo yake kuwa tusiende kwenye flat screen ila kwa haya makatazo lazima tubanane huko huko hata bila ya utafiti wa Excel

Ndio ukweli wenyewe... huku kunawafaa vimbaombao tu tena wenye six packs... kuyumba yumba na flati sceen sio mchezo ndugu zangu.... SHAURI YENU MSIJE NILAUMU BAADAE
Mr Rocky huwezi jua Excel na Tized wakawa lengo lao moja hawa kutunyima utamu wa huko, ila wajue wanamuweka njia panda utafiti, maana anataka kuingia kwenye chama mazima sasa atakuwa anapata shida achague wale au hawa....
Kasinde mkia wake umeongezeka sana miaka ya karibuni... kabla alikua kama hapyness magese wa enzi zile. mapenzi TZ anayompa kwa kweli ni motomoto!!
Tized sasa kama mkia Kasinde anao basi wewe ni ndumilakuwili aise unauma na kupuliza kabisa
Ukiona maumivu yanazidi tuachie bana tuhangaike nae aise miss chagga nampenda maana ukiishiwa tuu humuoni tena na anakuondolea stress maana kila siku anataka pesa yule
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha hata mi nilistuka Sana baada ya Perry mwenyewe kunitamkia eti yeye ni demu....

Ikabidi nizame kwenye NSA nikagundua ni kweli ila yule kauzu Sana aisee maana anajua kujikaza kiume...

Hiyo picha sio yeye ye yupo kikakamavu hivi ukienda pupa unaweza sema dume

Hahahahaaa! kumbe Perry kweli ni manzi? asee ningependa npatepo hata namba ya tgo pesa! lol...
Perry please tukianza semista ya 5 nitafute bhana tupeana company za RB pale COeT.... lol...

nimemmanind perry mkuu...!
 
Last edited by a moderator:
Kasinde njoo kando nikuoneshe selfie moja nmeichukua sasa hivi! ni kali knyama! for you only! lol
 
Last edited by a moderator:
kabanga tafuta flat screen aise haya makatazo ya Tized yamezidi bana na ametufanya tujue kuwa kumbe kuna siri ya urembo inaendelea huko bila kujua
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa! kumbe Perry kweli ni manzi? asee ningependa npatepo hata namba ya tgo pesa! lol...
Perry please tukianza semista ya 5 nitafute bhana tupeana company za RB pale COeT.... lol...

nimemmanind perry mkuu...!

Ha ha ha umemind mzigo sio? Ila jitahidi uwe wakiume kweli vinginevyo we ndo utaonekana manzi mbele ya Perry
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky huwezi jua Excel na Tized wakawa lengo lao moja hawa kutunyima utamu wa huko, ila wajue wanamuweka njia panda utafiti, maana anataka kuingia kwenye chama mazima sasa atakuwa anapata shida achague wale au hawa....

Nakwambia kabanga hakuna asyependa vibration bhana! Hata ukiingia kwenye gari raha yake ishtulwe kdogo! sasa ukpata loads kama hiz lazma uwe na raha flan hivi sababu ya vibration zake!
utafiti ni mdau sana hujaona mpaka ametema siri kwa miss neddy? lol..

Hivi havipngik hata kdogo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umekosa thread ya kupost humu,picha ya zamani sana hii
 
Ha ha ha umemind mzigo sio? Ila jitahidi uwe wakiume kweli vinginevyo we ndo utaonekana manzi mbele ya Perry

unajua mkuu mamanzi kama hawa huwa hawachun sana! mnatoana kishkaj tu! nifowadiye namba bas nbebe goma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom