Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Guess who?
nimemuibia hapo tu! sura nimeacha kapuni!
hii mibaraka hii! hm!
![]()
Aiseee Mzee wa miamba hicho kinaitwa kijiji cha Africa! Hatariiiiiii!
Uko pouwa Lkn mkulu? Aiseee posho ya bunge la katiba imekwisha! Hapa Natafuta deal nilipe deni la Hotel mkulu!
Mkuu Tized vimbaumbau sio deal bana unabeba kitu kama hicho hapo juu alichoonyesha Excel hapo utakuwa umepata kitu kinachofaa bana
kabanga sijui kapotelea wapi aise
Mkuu Ntuzu salama kabisa aise tunapambana
Mhhh na ulivyotunyima hata kuonja pesa za bunge lako la katiba nakuombea wakunyang'anye mpaka boxer zako kulipia deni la hotel
Niko poa sana kaka. Naona uko busy hapo...
na wewe unapenda wenye neema?
Niko poa sana kaka. Naona uko busy hapo...
Daaah nakwambia angekuwepo Gogle hapa asingechomoka kwa huyu mrembo!
yani akiwaonaga tu hawa anapata kizungu zungu! lol...
miss chagga...! is this your neiba?
Swali gumu kweli hili. Naomba nibadilishie swali lingine
Aisee Haya mambo only in Africa