Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Jitahidi sana umuone miss nanii... yawezekana kabisa akawa yeye! mtoto mmbaya yule! hahahaaa!
Hivi ulimuwacha au alikuwacha,
Jitahidi sana umuone miss nanii... yawezekana kabisa akawa yeye! mtoto mmbaya yule! hahahaaa!
hilo mbona ndilo lenye raha bibie! nakwambia hupati shida kabisa kupata soko! lol..
cc Khantwe miss ngatara miss neddy Munkari...
Huyu jama ni nanii vileee.....
Nani huyu sio ni miss nedy
Bora nibakie hivi hivi kimbau mbau mie la hivyo silitaki
Daaah nakwambia angekuwepo Gogle hapa asingechomoka kwa huyu mrembo!
yani akiwaonaga tu hawa anapata kizungu zungu! lol...
miss chagga...! is this your neiba?
hmm! yule kweli mkuu?
hebu muite aje aseme !!
Apia kama kweli...................?:A S-eek:Bora nibakie hivi hivi kimbau mbau mie la hivyo silitaki
Munkari hebu njoo huku, Excel anataka majibu. Hivi huyo ni miss nanihii, miss nanihii
au ni yule miss nanihii wa Kishumundu? Wewe ndo unawafahamu kwa kuwa ni jirani zako...
View attachment 191307
Salama kabisa mkuu utafiti na naamini uko salama pia mkuu
Apia kama kweli...................?:A S-eek: