Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Kukutana na warembo wa JF raha sana!

Du...watu wa JF ninyi ni hatareeee!!!
Nimecheka na hii thread mpaka basi!

nimekuona mkuu!
avatar15469_9.gif

Hahahahaaa! kitu nansi mitikisiko!!

kalio likipita mpaka air condition zinajiongeza na kujipunguza zenyewe!
 
Hako ndiko kenyewe, Kwani nyie akina Mr Rocky, kabanga na Excel wowowo kuuuubwa mpige nayo picha ama? We fanya kazi yako ya msingi.. vingine mbwembwe tu!!!! hahahahahahaaaaaa. .... ona watavyo nipiga mawe hapa...

Hehehe, naogopa kulaumiwa na watoto. Ujue nimerithi shepu mbaya kama mshua Mtambuzi. Kawowo kadogoooooo. Paw ana shape ngoja nikomae nae nipate mbegu
 
Last edited by a moderator:
Hako ndiko kenyewe, Kwani nyie akina Mr Rocky, kabanga na Excel wowowo kuuuubwa mpige nayo picha ama? We fanya kazi yako ya msingi.. vingine mbwembwe tu!!!! hahahahahahaaaaaa. .... ona watavyo nipiga mawe hapa...

Acha zako wewe mkia mtamu sana kuushika na kuupapasa wakati wa ile mambo na sio unashika sehem unakutana na mifupa imetokelezea Tized mwambie kabanga au Excel au Bulldog wakuambie siri ya wenye mikia bana utaachana na hao vimbaumbau wako kama King'asti mzima wewe msalimie sana Paw
 
Last edited by a moderator:
Nyama tamu ipo kwenye mifupa Mkuu.... Hii siri nakuvujishia wewe peke yako.

najua sana ila wakati wa kuitoa hiyo nyama kwenye mifupa lazima uwe na sehem ya kushika maana utaishia tuu kuiona nyama illeeee ila kuila huwezi aise inakosa hata ladha
 
Hahahahahaaaaaa hio ndio HIGH DEFINITION HD..... Haya bwana nisikushawishi zaidi ukaja leta ushindani huku kwetu

Mimi na kabanga tumejisajili kwenye dirisha dogo na tumeingia upande huo kwa mkopo kwa muda tukiona kunafaa tunaweza kuweka kambi kwa msimu mmoja au miwili
cc Excel
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom