CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na vyombo vya ulinzi, takukuru na hata taasisi za fedha wanaweza kumfanya chchote anayeweza kwenda kugombea uipinzani. Katiba mpya siyo kwa manufaa ya Chadema hata viongozi walioko madarakani wenyewe. Mabadiliko ya katiba ni muhimu hata kwa Kikwete na Samia mwenyewe kwa manufaa ya watoto wao na vijukuu vyao.