Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Kukopa kunaweza kukudhalilisha ila kudaiwa na kushindwa kulipa kunadhalilisha zaidi.

Kudai pia kunakera sana. nilikua namdai mtu kama laki moja hivi ankaniletea story sijui hana hela, kuna pesa alipata mwanae akamlilia anataka iphone X ilibidi amnunulie. aisee nilitamani kummeza huyo mama sema tu kanizidi umri ikabidi nimuheshimu. nadhani kudai kunakera kuliko kudaiwa.
 
😁😁😁😁

Kutaitika ni Kawaida Maishani, tatizo Binadamu wengi wako desperate(utu, uvumilivu, ukweli, kutojiamini)kumejaa Zama hizi.

Ikiwa serikali tu inakopa MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII na kuwakopa HUDUMA wakandarasi wa barabara,je sisi ni Nani?!?😁😁

Shukuru Mungu Una wazazi wanaoweza "kukuelewa"😁😁😁

Mungu awaweke na kuwalinda wazazi wako, aaamin
Sio wazazi wanaomuelewa tu ashukuru kuwa wazazi wake wana Afya hadi umri aliofikia unamkopa mzazi 100K aisee ningekuwa nishachapishwa Forbes millionaire under 30.
 
😁😁😁😁

Kutaitika ni Kawaida Maishani....tatizo Binadamu wengi wako desperate(utu,uvumilivu,ukweli,kutojiamini)kumejaa Zama hizi....

Ikiwa serikali tu inakopa MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII na kuwakopa HUDUMA wakandarasi wa barabara,je sisi ni Nani?!?😁😁

Shukuru Mungu Una wazazi wanaoweza "kukuelewa"😁😁😁

Mungu awaweke na kuwalinda wazazi wako,aaamin
Na mimi ni nani nisimkope Jumbe asiyejua kudai? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Jumbe msamehe wadaiwa sugu!! Haha mgeni wako nakuja kukopa nitegemee wakati wowote

Amin Jb šŸ™šŸ™ Barikiwa pia
 
kudai pia kunakera sana. nilikua namdai mtu kama laki moja hivi ankaniletea story sijui hana hela, kuna pesa alipata mwanae akamlilia anataka iphone X ilibidi amnunulie. aisee nilitamani kummeza huyo mama sema tu kanizidi umri ikabidi nimuheshimu. nadhani kudai kunakera kuliko kudaiwa.
😁😁😁

Kukopeshana ni Jambo la Kawaida,ttzo ni watu km hao wa "iphone"😁😁...Kuna watu hawako serious...
 
Na mimi ni nani nisimkope Jumbe asiyejua kudai? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Jumbe msamehe wadaiwa sugu!! Haha mgeni wako nakuja kukopa nitegemee wakati wowote

Amin Jb šŸ™šŸ™ Barikiwa pia

Ha ha ha 😁😁😁😁loooh ha ha ha

Kukopa,kukopeshana ni kawaida....Sasa Ulitaka Yule bwana nimdai kwa maspika na kumjazia nzi?!!!😁😁

Kumkalia kimya ni kutambua ubinadamu kuwa hata mm ninaweza kushikika ila kubwa HATONIJIA TENA.....šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Unapokopa unatakiwa umtamanishe mkopeshaji kama kweli unajiamini Unakopa na utarudisha, nenda mfate mkopaji mwambie "nikope 50,000 nitakurudishia 70,000 naweka hii CM yangu bondi" mkopaji kama kweli hela anayo lazima akupe tu>

maana akili yake itawaza ile riba lkn pia itawaza ile cm yako endapo itatokea ukashndwa rudsha, kwahyo akiona vtu vyote hivyo uhakika wa wewe kupata mkopo ni 81%.

Ila haya maswala ya kwenda kukopa kwa maneno makavu eti "nikopeshe 100,000 nitakurudishia next week" asee kumpata ataekukopesha n nadra sana na hapo ndio ile ya mkopeshaji anaanza kukuuliza "ooh unataka yanini" ukafanye nini,nk nk maswali ya kipambe pambe tu.

MWISHO : acha kutilia huruma unapoenda kukopa,act as if hata akikunyima "ni sawa tu" Jiamini,yani kopa kama vile akikupa hiyo hela unaenda nywea K vant na Balimi,usimuonyeshe dalili za huzuni/uhitaji ulioptliza.

Usiseme sababu yako ya kwann unakopa,MWIKO kama ni wakukupa atakupa kama hakupi hakupi tu.
 
unapokopa unatakiwa umtamanishe mkopeshaji kama kweli unajiamini Unakopa na utarudisha,nenda mfate mkopaji mwambie "nikope 50,000 nitakurudishia 70,000 naweka hii CM yangu bondi" mkopaji kama kweli hela anayo lazima akupe tu>

maana akili yake itawaza ile riba lkn pia itawaza ile cm yako endapo itatokea ukashndwa rudsha,kwahyo akiona vtu vyote hivyo uhakika wa wewe kupata mkopo ni 81%.

ila haya maswala ya kwenda kukopa kwa maneno makavu eti "nikopeshe 100,000 nitakurudishia next week" asee kumpata ataekukopesha n nadra sana na hapo ndio ile ya mkopeshaji anaanza kukuuliza "ooh unataka yanini" ukafanye nini,nk nk maswali ya kipambe pambe tu.

MWISHO : acha kutilia huruma unapoenda kukopa,act as if hata akikunyima "ni sawa tu" Jiamini,yani kopa kama vile akikupa hiyo hela unaenda nywea K vant na Balimi,usimuonyeshe dalili za huzuni/uhitaji ulioptliza.

Usiseme sababu yako ya kwann unakopa,MWIKO kama ni wakukupa atakupa kama hakupi hakupi tu.

Bonge la MESSAGE....

Tatizo Watu Wengi Wako DESPERATE wanapokuwa na UHITAJI toka kwa WENGINE...😁😁
 
Afu mazaa ni kati ya wale watu waliokaririshwa kuwa Arusha maisha yako very expensive kwahiyo kunipiga tafu ni kawaida tu.

We unataka kuniambia ukikwama huwezi kucheck na wazazi/walezi achana na zile za kukopa kwa friend ukigeuka anakusema ooh fulani leo kaja kunikopa.

Ooo kumbe wee uko CHUGA eee?!!

Hayaa
 
Afu mazaa ni kati ya wale watu waliokaririshwa kuwa Arusha maisha yako very expensive kwahiyo kunipiga tafu ni kawaida tu.

We unataka kuniambia ukikwama huwezi kucheck na wazazi/walezi achana na zile za kukopa kwa friend ukigeuka anakusema ooh fulani leo kaja kunikopa.
Inamaana ujaelewa nilichoandika aisee kazi ipo.
 
Back
Top Bottom