Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Kumkopa mtu pesa kunadhalilisha sana mbaya zaidi umuelezee mtu tatizo lako akukopeshe pesa halafu asikukopeshe aseme hana,inafedhehesha sana.

Au uwe na rafiki unamkopa pesa na huwa unamlipa kwa wakati lakini yeye hajawahi kukukopa nayo inafedhehesha sana siku mkigombana atatumia nafasi hiyo kukunyanyasa.

Kuna baadhi ya watu ukiwa text wanadhani unataka uwakope pesa.

Kuna wengine wakikukopesha wanaenda kukutangaza.
Huhitaji kutaja shida yako. We kopa tu kiasi chako na mhakikishie jinsi utavyorudisha.

Kutaja shida huwakosesha wengi. Unamkopa mtu ada ya shule nzuri wakati wanae wako Kayumba?

Unakopa ukatoe gari bandarini wakati jamaa hana hata Boxer pikipiki?

Halafu kuna ushenzi wakati wa kurudisha. Alikurushia laki mbili na ya kutolea. Wewe unarudisha laki mbili kamili. Umesahau ya kutolea, ada ya kukutumia na yeye anahitaji ya kutolea.
 
Hii ni kutokana na mazingira ambayo wewe umeyatengeneza kwao. Usipende kujionesha kuwa unashida sana ya pesa. Kuna wakati huwa BIASHARA ZANGU zinayumba ninakuwaga na shida saaana ya kifedha. Unakuta sina hata 5,000/= kwenye wallet ila ninakuwa normal sana na sioneshi kupapatikia wala kujipendekeza kwa watu.

JIFUNZE KUTOKA KWANGU!
kweli braza wakati mwingine watu wasijue shida ulonazo watakutangaza ht km hujawaomba
 
Huhitaji kutaja shida yako. We kopa tu kiasi chako na mhakikishie jinsi utavyorudisha.

Kutaja shida huwakosesha wengi. Unamkopa mtu ada ya shule nzuri wakati wanae wako Kayumba?

Unakopa ukatoe gari bandarini wakati jamaa hana hata Boxer pikipiki?

Halafu kuna ushenzi wakati wa kurudisha. Alikurushia laki mbili na ya kutolea. Wewe unarudisha laki mbili kamili. Umesahau ya kutolea, ada ya kukutumia na yeye anahitaji ya kutolea.
Mkopaji wewe mbona mbabe naona ujawai kamatwa na shida yaani wewe ndio unapanga...
 
Hii ni kutokana na mazingira ambayo wewe umeyatengeneza kwao. Usipende kujionesha kuwa unashida sana ya pesa. Kuna wakati huwa BIASHARA ZANGU zinayumba ninakuwaga na shida saaana ya kifedha. Unakuta sina hata 5,000/= kwenye wallet ila ninakuwa normal sana na sioneshi kupapatikia wala kujipendekeza kwa watu.

JIFUNZE KUTOKA KWANGU!
Mkuu unasema hivyo labda huna familiar, angalia unafanya biashara halafu zimeyumba mwenye nyumba anadai kodi, mtoto karudishwa shule, na home hamna ramani ya siku mbili hizi kula, utafanyeje?
 
Ni jambo jema sana kuomba ila ni tabia mbaya KUOMBA OMBA...!!!!! Please learn the difference.
 
Hii ni kutokana na mazingira ambayo wewe umeyatengeneza kwao. Usipende kujionesha kuwa unashida sana ya pesa. Kuna wakati huwa BIASHARA ZANGU zinayumba ninakuwaga na shida saaana ya kifedha. Unakuta sina hata 5,000/= kwenye wallet ila ninakuwa normal sana na sioneshi kupapatikia wala kujipendekeza kwa watu.

JIFUNZE KUTOKA KWANGU!
Inategemea sasa, watu hukopa ili kuepuka fedheha, aibu, shida na madhara Mkuu, sasa wewe inaonesha unakosa hela ila halijakuandama tatizo kubwa, kuna mtu anatakiwa alipe mahali kias cha tsh. 100,000 asipolipa atafungwa Au atafukuzwa ndani Au atakufa unategemea asiende kukopa?
 
Simba si yupo na Zuchu
Zuchu Begginer bado anampiga kipesa vya kinjuka "Boss nashida 2000" "Ooh 10000 ninunue kiswaswadu" uyo zuchu ila Mibeto "Baba nanii gesi imeisha Million 400 nikaweke"
 
Kopa tu lakini usimwambie unaifanyia nini. Haimsaidii yeye wala wewe.
Hemu usikaze ubongo basi unafanyia nini husemi wewe unaulizwa na mkopeshaji na yeye ndio kashika mpini mwanau ndio kashagumuliwa ubongo umeenda kopa pesa ya kushona kichwa ana masaa kadhaa afe husemi siubabe wa kijinga.
 
Inategemea sasa, watu hukopa ili kuepuka fedheha, aibu, shida na madhara Mkuu, sasa wewe inaonesha unakosa hela ila halijakuandama tatizo kubwa, kuna mtu anatakiwa alipe mahali kias cha tsh. 100,000 asipolipa atafungwa Au atafukuzwa ndani Au atakufa unategemea asiende kukopa?
Jamaa ni Kyboard Worrior huyo aliyekaa na keyboeard anaandika tu kwasababu keyboard hakimpangii cha kuandika.
 
Hemu usikaze ubongo basi unafanyia nini husemi wewe unaulizwa na mkopeshaji na yeye ndio kashika mpini mwanau ndio kashagumuliwa ubongo umeenda kopa pesa ya kushona kichwa ana masaa kadhaa afe husemi siubabe wa kijinga.
Watu hutofautiana. Kwenye anga zangu hakuna wa kuniuliza naenda kufanyia nini. Hayo wanauliza wenye roho mbaya.
 
Back
Top Bottom