Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Once binadamu wote tumeumbwa na chembe za Ego na Privacy ila umasikini unapoingilia kati inauwa chembe zote mbili.

Period, kila mtu anapenda kuwa na Privacy na sdida zake asijue mtu ila shida inakuwa no way out ya kuSolve shida ndio unauwa Privacy yako.

"Hakuna masikini mwenye Privacy duniani" privacy ni kwa aliye vizuri tu.

_Utapofanya upembuzi hata jukwaani JF utaona wasio kuwa Financial Stable malanyingi ndio wanaandika nyuzi za maisha yao binafsi kama kuomba kazi, mtaji, msaada nk...

Bottomlime
tupambane tuweze kulinda privacy zetu na Ego.
👍👍
 
Nikopeshe laki 2 mkuu bondi naweka ID yangu
😁😁

Nakumbuka Alinijia Msela Mmoja Hivi Dereva Wa Daladala Za Mbagala Kichemchem, kama Kawaida ya maisha yetu sote nikamsikiliza, akaacha BONDI leseni yake ya udereva. Loooh Kurudisha ikawa balaaa, kumbe kitambulisho chenyewe Kimeisha Muda Wake. Sikuingia Sana Katika Kudeal Naye Nikampotezea.

Tukionana anajisahaulisha, nami nimeipotezea.😁😁😁
 
Back
Top Bottom