Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Kukopa mtu pesa kunadhalilisha sana

Hapana, my papuchi is valuable asee. Naweka ID tu ndiyo vinalingana thamani na hiyo 200K yako.
ID tu, huku bondi papuchi! Masharti ni kuileta kila ijumaa jioni kuondoka jpili jioni mpaka pale utakapolipa deni. 🤣🤣🤣
 
Hahahah hamna mangi, nakuwa magetoni nikiwa nje ya mji!
Hahahahhahha

Kuna wale wapangaji mabrooo ambao wanaonekana geto mara moja kwa mwezi.
Hawa huwa wanachukua room maeneo ya Mbali ili waje kupumzisha akili baada ya kuchoka kero za wake zao.
 
Hahahahhahha

Kuna wale wapangaji mabrooo ambao wanaonekana geto mara moja kwa mwezi.
Hawa huwa wanachukua room maeneo ya Mbali ili waje kupumzisha akili baada ya kuchoka kero za wake zao.
😁😁 Umenikumbusha Some Few years back daaah
 
😁😁

Nakumbuka Alinijia Msela Mmoja Hivi Dereva Wa Daladala Za Mbagala Kichemchem,Kama Kawaida ya maisha yetu sote nikamsikiliza....akaacha BONDI leseni yake ya udereva...loooh Kurudisha ikawa balaaa......kumbe kitambulisho chenyewe Kimeisha Muda Wake....Sikuingia Sana Katika Kudeal Naye Nikampotezea....

Tukionana Anajisahaulisha,nami nimeipotezea....😁😁😁
Usumbuki na wadaiwa sugu eh? We unafaa sana, nitakuja kukopa 😂

Last year mwishoni hivi nilibanika inshu flani hivi (nilikuwa na uhitaji wa laki moja tu. Nikamcheck mshikaji wa kwanza akanichomolea, rafiki angu akachomoa kwa zile eti ungeniambia jana ningekupa kweli nilikuwa na hela ila nmezitumia jana hovyo hovyo nikajua hapa ni wale wale tu nanyimwa kidigitali.

Ikabdi nimcheck mazaa ndiyo akanipa, tokea hiyo siku sijakopa tena thoe napata viuhitaji mbali mbali lakini namute kimya. Nikizidiwa nawacheck home
 
Kukopa kunaweza kukudhalilisha ila kudaiwa na kushindwa kulipa kunadhalilisha zaidi.
 
Kumkopa mtu pesa kunadhalilisha sana mbaya zaidi umuelezee mtu tatizo lako akukopeshe pesa halafu asikukopeshe aseme hana,inafedhehesha sana.

Au uwe na rafiki unamkopa pesa na huwa unamlipa kwa wakati lakini yeye hajawahi kukukopa nayo inafedhehesha sana siku mkigombana atatumia nafasi hiyo kukunyanyasa.

Kuna baadhi ya watu ukiwa text wanadhani unataka uwakope pesa.

Kuna wengine wakikukopesha wanaenda kukutangaza.
Mkuu Usiogope ,anakopa pesa Bakhresa tajiri wa kwanza Tanzania ndio itakuwa wewe?
 
Usumbuki na wadaiwa sugu eh? We unafaa sana, nitakuja kukopa 😂

Last year mwishoni hivi nilibanika inshu flani hivi (nilikuwa na uhitaji wa laki moja tu. Nikamcheck mshikaji wa kwanza akanichomolea, rafiki angu akachomoa kwa zile eti ungeniambia jana ningekupa kweli nilikuwa na hela ila nmezitumia jana hovyo hovyo nikajua hapa ni wale wale tu nanyimwa kidigitali.

Ikabdi nimcheck mazaa ndiyo akanipa, tokea hiyo siku sijakopa tena thoe napata viuhitaji mbali mbali lakini namute kimya. Nikizidiwa nawacheck home
😁😁😁😁

Kutaitika ni Kawaida Maishani....tatizo Binadamu wengi wako desperate(utu,uvumilivu,ukweli,kutojiamini)kumejaa Zama hizi....

Ikiwa serikali tu inakopa MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII na kuwakopa HUDUMA wakandarasi wa barabara,je sisi ni Nani?!?😁😁

Shukuru Mungu Una wazazi wanaoweza "kukuelewa"😁😁😁

Mungu awaweke na kuwalinda wazazi wako, aaamin
 
Back
Top Bottom