Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Umeme umerudi maeneo yote,toka saa sita ya mchana leo.Ma dikteta duniani kote wana mbinu za hovyo sana,
Miaka fulani huko,Urusi,Raisi wa Russia alikuwa anataka kuvamia nchi moja jirani ambapo kulikuwa Kuna kikundi Cha kijeshi,kigaidi kilichokuwa kinataka kujitenga,alichofanya.
alituma maofisa wake wakalipua mabomu kwenye shule ya watoto wadogo ndani ya Urusi,harafu akautangazia ulimwengu kwamba kile kikundi Cha kigaidi ndio kimefanya mashambulizi.
Hapo akapata sababu ya kuivamia hiyo nchi,na kushambulia hatari,hili tukio la Morogoro Tanesco,kuungua,isije ikawa inatafutwa sababu ya kuifuta Chadema na kumfunga Mbowe,kwamba yeye ndie aliye endesha hii hujuma ya kulipua kituo Cha Tanesco