Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
mbona nafasi zenyewe jkt na jeshi nazoo ni ngumu kupataaa
Hapana sio ngumu,
Kama umemaliza masomo na hukwenda mafunzo ya jeshi mwezi wakwanza, basi jiandae kwenda mwezi wa kwanza mwaka ujao!
Ila nikujuzi kidogo jinsi yakuchukuchua watu kutoka JWTZ,JKT
Wanaweza kuwaandaa watu zaidi ya 30 lakini wakawachukua wawili tu, na siku ya kuwachukua
Anaweza kuja afisa wajeshi katika camp yenu akasema,
"Naomba watu wawili wakazibu choo cha maafisa kule kimeziba sana, Sawa!"
Hapo watakao inuka na kuwahi kwenda basi hao ndio wanaondoka jumla kuelekea kwenye ujasusi na sio kuzibua choo!
Kwahiyo nidhamu na uwezo wa kufikiri/akili tena zile za kipaji ndio msingi wa wewe kupata kazi hiyo