Ndoto yangu Toka udogo wangu ni kuwa Usalama wa Taifa. Nifanyeje?

Janeting

Member
Feb 20, 2018
40
76
Wajuvi wa mambo salaam, nimezaliwa 90s mpaka Sasa sioni dalili za kuwa usalama wa taifa kazi ambayo naipenda sana kutoka moyoni licha ya maslahi ambayo wengi wanakimbilia.

Yaani Mimi hata wasiponilipa Niko radhi kutumikia ilimradi tu niingie kwenye system ya usalama. Kwasasa Mimi ni kiongozi kwenye taasisi Fulani ya serikali upande wa elimu.

Naombeni msaada nitimize ndoto wakuu asanteni. ELIMU yangu ni chuo kikuu 1st degree of education.
 
Wajuvi wa mambo salaam, nimezaliwa 90s mpaka Sasa sioni dalili za kuwa usalama wa taifa kazi ambayo naipenda sana kutoka moyoni licha ya maslahi ambayo wengi wanakimbilia....yaani Mimi hata wasiponilipa Niko radhi kutumikia ilimradi TU niingie kwenye system ya usalama. Kwasasa Mimi ni kiongozi kwenye taasisi Fulani ya serikali upande wa elimu. Naombeni msaada nitimize ndoto wakuu asanteni. ELIMU yangu ni chuo kikuu 1st degree of education.
 
Wajuvi wa mambo salaam, nimezaliwa 90s mpaka Sasa sioni dalili za kuwa usalama wa taifa kazi ambayo naipenda sana kutoka moyoni licha ya maslahi...
Njia Rahisi, anzia Chuo cha National Defence uzuri uko serikali nenda kasome pale kozi zao chap chap, ukiwa humo fanya makeke usomeke na system
 
Back
Top Bottom