Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Hii kazi ni ngumu sana ina hitaji watu wenye utashi na uzalendo wa hali ya juu, sio unaikimbilia kisa hauna ajira, Binafsi Japo nina kazi ningependa sana kufanya kazi na TISS, nilikuwa na Wito toka nikiwa mdogo na mpaka leo Wito wangu haujaisha....ila ndio hivyo wao ndio wachaguzi.
 
habali ndugu zangu wa jf,kwa watu wanaokaa maeneo ya mbweni kuna chuo pale kinaitwa usalama ambacho
kuna mafunzo na masomo ya usalama yanafundishwa na kuna wanafunzi nawaonaga wanasoma ila hawanaga stori na watu.

kwa mtu anaefahamu atuambiee tuuu...wanangaliaaa sifa zipi....na una apply gani.....tusaidieni wenzenu...ambaoo tupo mtaani

Kwanini utafute kazi mbaya kama ile??? Unakuwa mmbeya tuuu.Alafu unakuwa ccm kinguvu.Sitaki hiyo kazi hata buree umbea sitaki.
 
ukisikia kazi za usalama wa taifa zinatangazwa sehemu ujue hiyo ni feki. hakuna system yoyote inayoweza kutafuta watu wa security system kwa kutangaza kwenye media
 
Bora wewe unajua hata chuo kilipo m huwa nawafikiria kama ni watu wa tofaut sana nahisi kama wanaishi mbingun namwona tu yule anayekuwa na Mh Rais daaaa Mungu nijalie hata nikaguse geti tu roho itaridhika.

mkuu mbona ni watu wa kawaida tu kk
wakikuona watakutafuta wao wenyew
 
Kama unabahatika kupata nafas ya jkt nenda usalama utawakta huko wanahitaj wa2 mara nying huwa hawajitangazi kma ni usalama we kila usaili fanya hta ukisikia kampuni ya ulinzi fanya utash2kia umeibuka kwao.ANGALIZO; Huko bhana kaz kaz 2 hakuna siasa.

unamanisha nn mkuu ..unavyo sema kazi kazi
 
Hii kazi ni ngumu sana ina hitaji watu wenye utashi na uzalendo wa hali ya juu, sio unaikimbilia kisa hauna ajira, Binafsi Japo nina kazi ningependa sana kufanya kazi na TISS, nilikuwa na Wito toka nikiwa mdogo na mpaka leo Wito wangu haujaisha....ila ndio hivyo wao ndio wachaguzi.

we bado una uzalendo???? hauna tamaaaa ya pesa??? ni mwaminifu????
 
Habari wanajamvi! Napenda kufahamishwa hivi mafunzo ya usalama wa taifa huwa yanaanza lini? yanafanyika wapi? kwa muda gani? Na wanachukua watu kama wangapi intake moja? Tafadhali wenye taarifa naomba mnifahamishe!

Shukran
 
habari wanajamvi!.napenda kufahamishwa hivi mafunzo ya usalama wa taifa huwa yanaanza lini?,yanafanyika wapi?,kwa muda gani? Na wanachukua watu kama wangapi intake moja?,tafadhali wenye taarifa naomba mnifahamishe!.shukran
Nasikia mafunzo mafunzo ni miaka miwili sijui yanafanyika wapi ila sipenda hata kuwajua kwanza watu gani wasiofahamika kwenye jamii halafu uhangaike nao wa nini.
 
habari wanajamvi!.napenda kufahamishwa hivi mafunzo ya usalama wa taifa huwa yanaanza lini?,yanafanyika wapi?,kwa muda gani? Na wanachukua watu kama wangapi intake moja?,tafadhali wenye taarifa naomba mnifahamishe!.shukran
Jamaa mmoja alimiambia kuwa wanachukua watu kutoka jeshi la polisi ila sijui kama kweli make za kuambiwa changanya na zako.
 
Huwa wanaandaliwa tangu wako shule ya msingi. Nenda kaongee na walimu wakuu watakwambia.
 
Back
Top Bottom