Ndechumia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,103
- 420
Du ww dogo mbona kila ishara inaonyesha kuwa ww umedisco Ud?, kingine usalama wa taifa/ usalama wa ssem siku zote lazima uwe mtu mwenye proffesional fulan, ni lazima either mtumishai ktk sector ya umma au binafsi, manake usalama wa taifa lazima uwe kwenye jamii ili uweze kupata nyet kutoka raia, so ukiwa tu f 6, huwez pata hiyo kaz, tafuta kaz nyingine dogo.