Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

We c unasoma udsm wew! Tena una supplimentary, kasome dogo kwanz kaz utapata tu,

umenifananisha mkuu,ujue humu jf kuna senetor ambae ni mim na kuna senator ambae ni m2 mwngne so labda utakua ume2mix.

Nimeshakusoma mawazo yako hutaweza kupata hiyo job.nikuulize kama hata cku moja umewahi kuckia matangazo yao ya kazi?wana wa2 wao so utajisumbua,then wameona umeshaanza kuandika huku jf wanajua utakuwa virus!

Unazungumzia usalama wa taifa lipi? Kenya,Uganda au malawi?maana hapa kwetu hatuna usalama wa taifa tuna usalama wa CCM tu.

duh!!mkuu,kwan bongo hamna usalama taifa?me huo wa ccm siujui na wala siuhitaji.

Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu,plz naomba anijulishe!elimu yangu,ni ya vidato 6.sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafc 2 na hyo kazi..
Pole sana ndg yangu! Kwa jinsi ninavyokumbuka hao watu hawatangazagi nafasi publicaly. So hii ina maana wana namna yao ya kupata watu wa kufaa kwa taaluma yao. Kwa vyovyote inavyokuwa sidhani kama kuna mtu anayeweza kukwambia cha kufanya na kama atafanya siyo humu kwenye forum. nakushauri jaribu ku switch uelekeo. Wkati flani nafikiri kuliko kusubiria majibu humu ni afadhali ulenge ofisi zao. Najua unaweza usipate jibu la moja kwa moja but utapata pa kushika kama utakuwa unajua kufikiria. Good luck

duh!!mkuu,kwan bongo hamna usalama taifa?me huo wa ccm siujui na wala siuhitaji.

Siku ikitokea kama libya hata humu jf hakuna wa kukaa kujulishana lolote,ni mwendo wa damu kumwagika tu,muhimbili yote itageuka mochwari, nyie wanaharakati wa kujificha mtachukuliwa mizukule.achen dharau na vyombo vya dola.

umenifananisha mkuu,ujue humu jf kuna senetor ambae ni mim na kuna senator ambae ni m2 mwngne so labda utakua ume2mix.

wadau leo ngoja nimuumbue huyu dogo anadai c yey nenda jukwaa la elimu kuna thread ya( habari mbaya kwa wanafunzi 2nd year udsm- COET) Utajua kwamba ndo huyu senetor yey, ana supp so c form 6 kama anavyodai. Mim c bahatishi naona kazidi ku2danganya.

Nakushauri usome upate japo degree ndio ukaombe kazi kwa hao jamaa...ulizia ofisi za usalama wilaya uliyopo na ukaongee nao kuhusu shida yako.
Wanaweza kukuelewa na wakakuchukua.
Ila hapa hakuna atakaekuambia zaidi kwani usiri ndio mfumo wao wa kazi.

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom