Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Yes uko sahihi mkuu wanawafuatilia sn bila wao kujua....
Mi namfaham 1 kamaliza udsm
Anasema aliitwa hicho chumba kipo full ....kuna wakubwa wa hii nchi waliopo kwenye system wengine hawajui....
Akashangaa wanamjua jina full, alikozaliwa kijijini huko hadi wazazi wake walikotokea....
Mawasiliano yake ya miezi km sita hiv yamedsplay kweny comp. Pale....
Walimtumia hadi wanawake warembo lkn hakudate nao...so alifanya nao kazi akiwa chuo hapo km mpelelezi ninoma!
Yaani kuna mambo dah akikusimulia dah, huwezi kuipenda hyo kazi!
Acha uongo
 
Nenda Malindi kama Unaenda Mbweni Usikate Kona kwenda mbweni ukivuka ule msitu nyoosha moja kwa moja uliza wale makirikiri getini kama umeenda kuomba kazi na utajaza form za maombi.

Ukifika DSTV kata Kona kama unaelekea kwa Bakhresa,pale walipoandika No ENtry kuna Geti nenda kaulize kwamba umekuja kuomba kazi.

Ukifika TRA kuna jengo lipo Opposite nalo near KITUO cha daladala ,Limepakana na Jengo la Wakala wa Meli(shipping Line) ulizia kwamba umekuja kuomba kazi watakupa form utajaza.

Ukifika Makumbusho Karibu na Triple A au Simba kapakatwa Opposite utaona geti lina vizuizi ulizia wale makirikiri watakupeleka HR utaenda kujaza form za maombi.

Usisahau kutupa Mrejesho.
Naona umediskloz location zao
 
Hiyo ilikuwa zamani Mkuu, kwa sasa zimebaki zinatolewa kishikaji hasa kwa kujuana tu
Kama wewe wazazi wako hawana background ya chama na wewe Uwe una asili ya kukipenda chama pia, au mzazi aliwahi kufanya kazi huko kisiri iwe informer au yoyote,pia wahehe (sababu ni yule hayati alipiga risasi nyingi kipindi Cha JKN akitokea St. Peters kumlinda mzee na uhaini ) na kipindi Cha mwendazake walichukua sana wasukuma aina zote na sasa wanachukua kulingana na mfumo uliopo. Tofauti na hapo kalaghabaho.
 
Wanachukua kupitia jkt
Vigogo wanaconnect ndugu zao na clans zao acha, wewe nenda tu huko JKT utabakia hivyo hivyo bila connection kama nilivyosema hapo juu hupati kitu hii ni Secret Society. Afadhali miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom