Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Habari za usiku wakuu? Ni matumaini yangu sote tu wazima wa afya tele na ambao wana matatizo ya hapa na pale basi Mungu awawekee mkono wa uponyaji.

Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojipambanua, tangu nikiwa mdogo nimekua nikivutiwa sana na utendaji wa kazi wa idara hii nyeti hapa nchini hivyo ndoto zangu ilikua ni siku moja kuwatumikia watanzania wenzangu kupitia idara hii nyeti.

Tafadhali sana wanajamvi kama kuna mtu anajua hatua na taratibu za kufuata ili kujiunga na idara hii naomba kujuzwa tafadhali. Ni muhimu sana kwangu na ni sehemu ya ndoto yangu ya siku nyingi msaada tafadhali wakuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Tafuta uzi wenye kichwa are spies made or born?utapata Jibu la swali lako.
 
​hadi hapo umeshakosa sifa za kujiunga na TISS basi tulia tu

Kakosa vipi mkuu wewe hujui kitu Tiss haichukui vilaza utafutaji wake wao TISS wanatafuta watu mashuleni wana mawakala wao hata mitaani wanatafuta watu hizo nafasi zipo mtu uwena afya na uwe fit kwa mazoezi uwe na th6 sense usiwe kichwa maji kama wewe
 
Hahahaha
 
Wapo TISS wengine vichwa maji
 
Habari za usiku wakuu? Ni matumaini yangu sote tu wazima wa afya tele na ambao wana matatizo ya hapa na pale basi Mungu awawekee mkono wa uponyaji.

Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojipambanua, tangu nikiwa mdogo nimekua nikivutiwa sana na utendaji wa kazi wa idara hii nyeti hapa nchini hivyo ndoto zangu ilikua ni siku moja kuwatumikia watanzania wenzangu kupitia idara hii nyeti.

Tafadhali sana wanajamvi kama kuna mtu anajua hatua na taratibu za kufuata ili kujiunga na idara hii naomba kujuzwa tafadhali. Ni muhimu sana kwangu na ni sehemu ya ndoto yangu ya siku nyingi msaada tafadhali wakuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Na wewe umeferi kwenye masomo yako? Unataka kazi ya kusimamia mitihani, uchaguzi coverage siku za sikukuu na kujifunza umbea ambao hata akifikishiwa Rais hakuna hatua za kuzuia wala kutibu tatizo?

Hiyo ni kazi ya heshima kwa nchi zilizo serious lakini siyo Tanzania.

Kama wewe ni mzalendo kweli omba nafasi ya kujiunga JWTZ kule ukiwa na vitu maalum ulivyozaliwa navyo unaweza kuteuliwa kuwa TISS kikosi maalum cha kumlinda Rais.

Kumbuka TISS ya Tanzania haitangazi nafasi za kazi wanachukuana wenyewe kwa wenyewe nafasi zikitoka ndio maana hii ndio idara inayoongoza kwa kujaa vilaza kuliko idara nyingine yoyote ya serikali.

Ila TISS wa ikulu makao makuu, Top ranks na walinzi maalum wa Rais hawa wote wako vizuri karibu wote wana sifa za kufanya kazi hiyo.

Ila hivi vimeo vilivyomo ofisi za RSO na DSO hamna kitu hata mademu wanaofanyakazi ngazi hizo unawagonga kiurahisi kuliko bar maide.
 
Kakosa vipi mkuu wewe hujui kitu Tiss haichukui vilaza utafutaji wake wao TISS wanatafuta watu mashuleni wana mawakala wao hata mitaani wanatafuta watu hizo nafasi zipo mtu uwena afya na uwe fit kwa mazoezi uwe na th6 sense usiwe kichwa maji kama wewe
hebu ficha utupu wa kichawa chako ndo mana nakwambia kitendo cha kujiexpress tayari ameshakosa
https://www.unodc.org/tldb/showDocument.do?documentUid=3357&cmd=add&country=URT&node=docs
​sio unabwabwaja tu
 
Pekua mada vizuri utaweza kupata mwangaza, tuliwahi ongelea hili suala hapa jamvini.
 
Habari za usiku wakuu? Ni matumaini yangu sote tu wazima wa afya tele na ambao wana matatizo ya hapa na pale basi Mungu awawekee mkono wa uponyaji.

Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojipambanua, tangu nikiwa mdogo nimekua nikivutiwa sana na utendaji wa kazi wa idara hii nyeti hapa nchini hivyo ndoto zangu ilikua ni siku moja kuwatumikia watanzania wenzangu kupitia idara hii nyeti.

Tafadhali sana wanajamvi kama kuna mtu anajua hatua na taratibu za kufuata ili kujiunga na idara hii naomba kujuzwa tafadhali. Ni muhimu sana kwangu na ni sehemu ya ndoto yangu ya siku nyingi msaada tafadhali wakuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Ofisi imeona wito wako na inalifanyia kazi ombi lako.
 
Ikiwa unashindwa kujilinda wewe mwenyewe dhidi ya panya road mpaka mnakanyaga watoto kwa mbio utawezaje kulihakikishia taifa usalama wake......????
 
hebu ficha utupu wa kichawa chako ndo mana nakwambia kitendo cha kujiexpress tayari ameshakosa
https://www.unodc.org/tldb/showDocument.do?documentUid=3357&cmd=add&country=URT&node=docs
​sio unabwabwaja tu

Wewe kichwa maji umeongea nini mbona hueleweki?
 
Back
Top Bottom